Macho ya kizinzi yapoje?

Macho ya kizinzi yapoje?

acha tabia ya kuangalia wanawake wengine...ukiwa na mwanamke yeyote karibu yako ata kama upo karibu na dada yako.
 
Wewe ni mzinzi, haiwezekani watu wawili wakusingizie,kifupi uzinzi ni pepo ambalo huweza kuonekana kwenye paji la uso la mtu yeyote mzinzi
Nitatubu

California love
 
Hii kitu ht mm nilishawahi kuisikia kunamanzi aliongeaga mwanzo nilishanga ilaa nilivyochunguza kweli kunawatu wanamacho ya kizinzi na ni wazinzi kwelii
Macho yao yapoje physically?

California love
 
1597774081640.jpeg

Kuna mtu huwa namuambia mara kibao tu kuwa ana macho ya ki player, halafu huwa anahisi natania lakini huwa nakuwa very honest..!!

I had this friend of mine, alinitumia picha ya his new chic, kumtazama tu machoni nikaona kabisa hajatulia,
Wala sikutazama mavazi sababu alikuwa amevaa very casual, kuna namna tu niliona kwenye wajihi wake..!
I swear to Almighty God, haikupita hata muda mrefu alimfumania that girl kitandani kwao kabisa, tayari akiwa ameshazaa naye, na wakati huo katoto ni kachanga..

Anakuja niambia, nikamjibu, niliona tu yale macho toka first day umenitumia picha kuwa hajatulia, but there ain't way ningekuambia kitu kama hicho kwa mtu uko unampenda si ungeniona tu niko na wivu?

So, hicho kitu kipo sana tu kwakweli..!!
 
Habari za asubuhi WanaJF?

Leo nataka kujua ukweli wa hiki kitu, utamjuaje mtu mzinzi kwa kumwangalia machoni? Ushawahi kuitwa mzinzi na mtu asiyekufahamu kwa kukuangalia usoni?

Kwa upande wangu hii kauli niliwahi kuambiwa na boss wangu wakike miaka miwili iliyopita, tulikuwa tunaongea kuhusu masuala ya maisha lakini nikashangaa unachomekea hii kauli" macho yako yamekaa kizinzi" sikujibu kitu zaidi ya kutabasamu tu, siku nyingine nilikutana na dada njiani nikaanza kumzingua, akaniambia hanitaki coz naonekana ni mzinzi, maoni yenu tafadhali juu ya hii perception.

California love
ahahaha macho ya fisi hayo

kwani ni wanawake wangapi wamekwambia hivo kama ni wawili usipoteze muda hao ni fikra zao tu
 
Habari za asubuhi WanaJF?

Leo nataka kujua ukweli wa hiki kitu, utamjuaje mtu mzinzi kwa kumwangalia machoni? Ushawahi kuitwa mzinzi na mtu asiyekufahamu kwa kukuangalia usoni?

Kwa upande wangu hii kauli niliwahi kuambiwa na boss wangu wakike miaka miwili iliyopita, tulikuwa tunaongea kuhusu masuala ya maisha lakini nikashangaa unachomekea hii kauli" macho yako yamekaa kizinzi" sikujibu kitu zaidi ya kutabasamu tu, siku nyingine nilikutana na dada njiani nikaanza kumzingua, akaniambia hanitaki coz naonekana ni mzinzi, maoni yenu tafadhali juu ya hii perception.

California love
Pepo la ngono humtambua mwenzie mwenye pepo jingine,ukiambiwa sana hvyo elewa tu kua unalo pepo na mwenye anakwambia ako nalo
 
ushaambiwa una macho ya kizinzi sasa kama unataka kujua hayo macho yanafananaje nenda kajiangalie kwenye kioo utakachoona ndio jibu
Hahahahaha........Jamiiforum idumu na iheshimiwe na watu wote.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom