Macho ya kizinzi yapoje?

Macho ya kizinzi yapoje?

Na Kama haumwi macho
Kuna mdada yupo humu, akitoa miwani ni hatari!!
Ukijua una macho ya kuita, epuka kuangalia angalia watu machoni na kutabasamu tabasamu hovyo.
 
The boss Kuna watu wamezaliwa hivo tu hata akimwangalia yoyote bila kujali jinsia yoyote macho yako hivo tu, Sasa mtu huyo afanyeje sasa, maana sio mda wote utakuwa na simu Kuna mda utakuwa na watu au ofisini, so ku judge mtu hivo not fair ooh

Nimekuuliza Una macho hayo sawa..
Je kuwatazama wanaume na tabasam pia umeumbwa hivyo?
 
Jitizame kwenye kioo utalinganisha na yawengine
 
Kuna mdada yupo humu, akitoa miwani ni hatari!!
Ukijua una macho ya kuita, epuka kuangalia angalia watu machoni na kutabasamu tabasamu hovyo.
Sasa Kuna watu wameumbwa hivo in short ni mtihani
 
Nimekuuliza Una macho hayo sawa..
Je kuwatazama wanaume na tabasam pia umeumbwa hivyo?
Sina macho hayo mkuu.
Hapo kuwatazama mbona mtihani maana inashauriwa kumuangalia mtu machoni bila kupepesa macho, hyo tabasamu Mimi sijui kwa kweli maana na uso wa mbusi
 
Habari za asubuhi WanaJF?

Leo nataka kujua ukweli wa hiki kitu, utamjuaje mtu mzinzi kwa kumwangalia machoni? Ushawahi kuitwa mzinzi na mtu asiyekufahamu kwa kukuangalia usoni?

Kwa upande wangu hii kauli niliwahi kuambiwa na boss wangu wakike miaka miwili iliyopita, tulikuwa tunaongea kuhusu masuala ya maisha lakini nikashangaa unachomekea hii kauli" macho yako yamekaa kizinzi" sikujibu kitu zaidi ya kutabasamu tu, siku nyingine nilikutana na dada njiani nikaanza kumzingua, akaniambia hanitaki coz naonekana ni mzinzi, maoni yenu tafadhali juu ya hii perception.

California love
Huyo boss wako alikuwa anakutaka kimapenzi so badala ya kukuambia wazi akaona akuambie "Una macho ya kizinzi" ili ukamilishe uzinzi wako kwake
 
Macho yasiyo tulia..
Kila ukiona mwanamke unamtazama Kwa matamanio..
Kama ni mwanamke akiona wanaume anwalegezea macho..wanaume tofauti tofauti..

Ndo macho ya uzinzi...
Kama mtoto anapoona muuza ukwaju anapita.
Au wauza pipi wanapita
Utulivu zero
Goood nitajitahidi kujicontrol

California love
 
Kuna mtu huwa namuambia mara kibao tu kuwa ana macho ya ki player, halafu huwa anahisi natania lakini huwa nakuwa very honest..!!

I had this friend of mine, alinitumia picha ya his new chic, kumtazama tu machoni nikaona kabisa hajatulia,
Wala sikutazama mavazi sababu alikuwa amevaa very casual, kuna namna tu niliona kwenye wajihi wake..!
I swear to Almighty God, haikupita hata muda mrefu alimfumania that girl kitandani kwao kabisa, tayari akiwa ameshazaa naye, na wakati huo katoto ni kachanga..

Anakuja niambia, nikamjibu, niliona tu yale macho toka first day umenitumia picha kuwa hajatulia, but there ain't way ningekuambia kitu kama hicho kwa mtu uko unampenda si ungeniona tu niko na wivu?

So, hicho kitu kipo sana tu kwakweli..!!
Good sana,

California love
 
Habari za asubuhi WanaJF?

Leo nataka kujua ukweli wa hiki kitu, utamjuaje mtu mzinzi kwa kumwangalia machoni? Ushawahi kuitwa mzinzi na mtu asiyekufahamu kwa kukuangalia usoni?

Kwa upande wangu hii kauli niliwahi kuambiwa na boss wangu wakike miaka miwili iliyopita, tulikuwa tunaongea kuhusu masuala ya maisha lakini nikashangaa unachomekea hii kauli" macho yako yamekaa kizinzi" sikujibu kitu zaidi ya kutabasamu tu, siku nyingine nilikutana na dada njiani nikaanza kumzingua, akaniambia hanitaki coz naonekana ni mzinzi, maoni yenu tafadhali juu ya hii perception.

California love
Wewe ni mzinzi, haiwezekani watu wawili wakusingizie,kifupi uzinzi ni pepo ambalo huweza kuonekana kwenye paji la uso la mtu yeyote mzinzi
 
Hii kitu ht mm nilishawahi kuisikia kunamanzi aliongeaga mwanzo nilishanga ilaa nilivyochunguza kweli kunawatu wanamacho ya kizinzi na ni wazinzi kwelii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom