moj6
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 3,354
- 5,006
Habari za asubuhi WanaJF?
Leo nataka kujua ukweli wa hiki kitu, utamjuaje mtu mzinzi kwa kumwangalia machoni? Ushawahi kuitwa mzinzi na mtu asiyekufahamu kwa kukuangalia usoni?
Kwa upande wangu hii kauli niliwahi kuambiwa na boss wangu wakike miaka miwili iliyopita, tulikuwa tunaongea kuhusu masuala ya maisha lakini nikashangaa unachomekea hii kauli" macho yako yamekaa kizinzi" sikujibu kitu zaidi ya kutabasamu tu, siku nyingine nilikutana na dada njiani nikaanza kumzingua, akaniambia hanitaki coz naonekana ni mzinzi, maoni yenu tafadhali juu ya hii perception.
California love