OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,960
- 25,312
Utakuwa ni mlezi wa wanna.
Jibu lake ni b = wendawazimu kama yeyeMachizi gani? Masela au wendawazimu? Kiswahili kimepanuka
Ndege wafananao huruka pamoja..Sina la kusema ila sali sana ndugu.. Yani we sali mno usichoke we sali tu maana haujui siku wala saa watakapoamua kutimiza azima Yao!
wanamfata chizi mwenzao