Acha roho mbaya wewe,sasa kuja kuwachongea huku unataka waje wale kwako?View attachment 2046039
Mliwatoa Kwa nyodo sasa wamerudi mchana kweupe!? Gondwe achia ngazi hiyo kazi huwezi Wewe!
Hee, sasa ni machinga au GG.View attachment 2046039
Mliwatoa Kwa nyodo sasa wamerudi mchana kweupe!? Gondwe achia ngazi hiyo kazi huwezi Wewe!
Both teams to scoreView attachment 2046039
Mliwatoa Kwa nyodo sasa wamerudi mchana kweupe!? Gondwe achia ngazi hiyo kazi huwezi Wewe!
Watu wabishi bana...wanakuambia waende wapiLabda uwaue. Kwa Hali ya kawaida lazima warudi,wasiporudi watakufa njaa. Wale mmachinga mliosema wana mitaji mikubwa hawatarudi barabarani.
Wewe umeandika 'wote'!View attachment 2046039
Mliwatoa Kwa nyodo sasa wamerudi mchana kweupe!? Gondwe achia ngazi hiyo kazi huwezi Wewe!
Sio Manzese nafikiri sehemu nyingi tu wamerudi.Arusha huanza kazi ya umachinga kuanzia saa 9 mchana.View attachment 2046039