Duhhh! Kwenye lami "anachoma" vitumbua[emoji848][emoji848][emoji848][emoji1787]
Hapo morogoro? Utadhan Geneva Uswiz!
Walio sababisha tatizo hawawezi kuliondoa wao wangewaachia wenye mawazo mapya wawasaidie
Hivi unafahamy fika Manzese iko manispaa ipi,kweli?View attachment 2046039
Mliwatoa Kwa nyodo sasa wamerudi mchana kweupe!? Gondwe achia ngazi hiyo kazi huwezi Wewe!
Acha utani wewe! Geneva hata magari yanakaa kwenye mstari sio vurugu mechi hio!Hapo morogoro? Utadhan Geneva Uswiz!
Nchi hii ina viongozi dhaifu katika ngazi zote, wanatafuta sifa na heshima wasiostahili