Machinga wasisumbuliwe

Wasiofanya hawasemi mitandaoni...ishi maisha yako
Kwanini sasa nisiseme mtandaoni?nna wasiwasi gani hadi nisiseme? Kumsema mwenye nchi niogope lakini hata kivuli changu pia nikikimbie? Huu utakua uhayawani
 
Hapo ni night hamna tatizo ase waacheni,usiku pia mnataka kuwakaba koo

Hapo sheli ya migo tena service road ,usiku nani an anasumbuliwa jamani ,ingekuwa mchana sawa
 
Kuna mmoja pale Msimbazi nilijichanganya nikakanyaga mashuka yake akaanza kumaindi,wee wee alijuta siku ile kufungua biashara yake maana nilipiga wakajifanya kutaka kumsaidi nikawaingiza kwenye vipigo wote,basi watu wenye maduka wakawa wanasema safi sana maana wamezidi viherehere kisa wameruhusiwa na Magu.
Wewe ni Jack Chein?
 
Sasa hivi wahindi wachina wanakwepa kodi wanakua na magodaun wanatafuta vijana wakauze mitaan ivo hawalipi pango kubwa TRA lesen fire taka ngumu zuio la pango ushuru wa huduma na nk halafu mpenda sifa 1anatokea eti ng'o ng'o ng'o
 
Fix za mchana mchana. Kwa hiyo ukawapiga eeeh! We kweli noma
Huwezi ukawapiga ukatoka salama. Wengi wao wanatumwa na wenye maduka kwani wanawasaidia kukwepa kodi. Then mtandao wao ni mkubwa. Onyo don't try to be physical with people who have nothing to loose
 
Wale jamaa wanavuta bangi,wewe utakua unapuliza shisha, si kwa miguvu hiyo, ukawapangua pangua aah we kweli ni hatari atii! Nibgekua sijaolewa ningekuomba unioe hata mke wa 4
Mimi niliwachapa 9, please ukiachika nibeep. au hata mkigombana tu. .
 
Kuna mmoja pale Msimbazi nilijichanganya nikakanyaga mashuka yake akaanza kumaindi,wee wee alijuta siku ile kufungua biashara yake maana nilipiga wakajifanya kutaka kumsaidi nikawaingiza kwenye vipigo wote,basi watu wenye maduka wakawa wanasema safi sana maana wamezidi viherehere kisa wameruhusiwa na Magu.

Na hukwenda lockup? maana sasa hivi hata ukimpiga mtu kofi mzee we ni ndani!
 
Kuna mmoja pale Msimbazi nilijichanganya nikakanyaga mashuka yake akaanza kumaindi,wee wee alijuta siku ile kufungua biashara yake maana nilipiga wakajifanya kutaka kumsaidi nikawaingiza kwenye vipigo wote,basi watu wenye maduka wakawa wanasema safi sana maana wamezidi viherehere kisa wameruhusiwa na Magu.

Niliwahi kumtandika mmoja Mwanza hatonisahau
Mnaona raha kujisifia ubabe?! Mfyuu kabisa nyie!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom