mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 80,835
- 106,038
Serikali ingejenga schemes za umwagiliaji za kufa mtu,weka macombine harvester etc watu walime mipunga nkKilimo serikali inategemea mvua ni kosa kilimo cha pesa ni umwagiliaji, then masoko huko bado kuna future ya kueleweka lakini tofauti na hapo tutakua taifa la wachuuzi tu ambao hatuna dira kiuchumi
Serikali haishindwi ni wao kufanya maamuzi tu
Ya kuleta mabadiliko
Dunia sasa hivi sehemu nyingi chakula kinahitajika
Tanzania ardhi, rutuba ipo
Ova