Machinga kwa haya wasulubiwe tu

Kilimo serikali inategemea mvua ni kosa kilimo cha pesa ni umwagiliaji, then masoko huko bado kuna future ya kueleweka lakini tofauti na hapo tutakua taifa la wachuuzi tu ambao hatuna dira kiuchumi
Serikali ingejenga schemes za umwagiliaji za kufa mtu,weka macombine harvester etc watu walime mipunga nk

Serikali haishindwi ni wao kufanya maamuzi tu

Ya kuleta mabadiliko

Dunia sasa hivi sehemu nyingi chakula kinahitajika

Tanzania ardhi, rutuba ipo

Ova
 
Serikali ingejenga schemes za umwagiliaji za kufa mtu,weka macombine harvester etc watu walime mipunga nk
Serikali haishindwi ni wao kufanya maamuzi tu
Ya kuleta mabadiliko
Dunia sahv sehemu nyingi chakula kinahirajika
Tanzania ardhi,rutuba ipo

Ova

Ngoja uone baada ya corona mwakanikutakua na njaa kali mno, yaani hata mfanyabiashara wa mazao mwakani ni kupiga pesa tu. Sasa njaa ingekuta kuna miradi ya kilimo ya kueleweka mambo yangekua mazuri sana
 
Sana ,mm naona kama tawala zetu hazitaki kuwainua watu zinataka wanyonge,walalahoi
Wawepo tu

Ova
 
serikali ya awamu ya 6 inafanikiwa kuwapumbaza ngumbaru waamini kabisa kwamba moja ya matatizo yao hapa tanzania kubwa kabisa ni machinga
 
Ngoja niwakusanye niwaingize msituni mnaona raha sana wanavyorandaranda kama kuku wa kienyeji
 
Acha wadanganyika wadanganywe Kwa manufaa ya wachache, siku wakiibuka usingizini kumesha kucha.

Kama waliaminishwa kuwa kiparata cha 20,000 ambacho hakina picha wala jina wanaweza kuchukulia mkopo Bank na wakshangilia
Hao ndio unategemea watakuja kuamka kwa akili hizo
 
Kama waliaminishwa kuwa kiparata cha 20,000 ambacho hakina picha wala jina wanaweza kuchukulia mkopo Bank na wakshangilia
Hao ndio unategemea watakuja kuamka kwa akili hizo
Watajielewa pale ubongo utakapo kuwa unachungulia nje kama WA kenge wasumbufu na wasiokuwa wasikivu Kila wafukuzwapo wanapoenda kuiba mayai ya raia, wakitokea vichaka vya jirani.
 
Sasa hivi washajifunza....walinyooshwa walemiaka 6 bila kupandishwa madaraja kiukweli huwezi amini ktk watu mioyoni walimlaani magu ni waalim
Làkini hao hao walimu walitumika kibadilisha matokeo ya uchaguzi mkuu 2020 kwa kupewa 20,000/?
 
Tatizo la Machinga ni kuwa hawajitambui na labda kukosa elimu pia kunachangia wao kutojitambua akili. Zama za Magufuli waliitwa wanyonge na wakakubali na sasa wanaitwa wachafuzi wa mazingira wanachekelea kwa mbinde.
 
Back
Top Bottom