Machine mpya aina hizi zinatafutwa.

Machine mpya aina hizi zinatafutwa.

Senior Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2011
Posts
3,405
Reaction score
3,702
Habari zenu wakuu,
Mimi ni mfanya biashara na nina plan za kufungua kampuni na kuwekeza kwenye sector ya ujenzi. Nilikua natafuta mashine za:

1. Kusaga mawe na kutengeneza kokoto na changarawe ndogo ndogo.
2. Kuyeyusha chuma chakavu (scraper) na kutoa nondo za viwango tofauti tofauti kwa ajili ya ujenzi.


Nilikua naomba msaada wenu ni wapi naweza pata mashine aina hizi, viwango na ubora wake, gurantee, bei zake na usafirishaji wake mpaka hapa TZ inakuaje, hasara na faida zake etc. Nitashukuru sana mkinipatia every single detail associated with the manufacturing processes also.

#Barikiwa
 
Back
Top Bottom