Machimbo ya SIMU za jumla kariakoo

Machimbo ya SIMU za jumla kariakoo

Nyarupala

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2024
Posts
641
Reaction score
1,055
Hello! Eid Mubarak kwenu nyote.

Naomba kujua ni maeneo gani kariakoo ambako kunapatikana machimbo ya SIMU za jumla hasa SIMU ndogo maarufu kama viswaswadu.

Nimezurula sana Leo na bila mafanikio.

Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu watanzania wenzangu🙏
 
Umeongea kinyakyusa hapo chini umeashiria ukabila, ningekutajia mkuu
 
Back
Top Bottom