AbaMukulu
JF-Expert Member
- Jan 1, 2018
- 2,048
- 3,568
Hata hao new traders huwa mara nyingi wanawatumia old traders kwa uzoefu na usalama wa mizigo yao.Huyu ni local alibaba. Anakatiza katikati ya mteja na mfanyabiashara. Potential clients wake ni new traders only mana hawatakuwa na haja ya kutoka huko walipo kuja dar. Hao wengine wote wana wauzaji wao wanaowaamini. Na Huyu atajibu maswali ya machimbo ya kweli ambayo hayajitangazi... Mm sikubaliani nae anasema atoe namba tu plan iishie hapo! Ni big failure sabab hata kelvin kibenje anatoa hizo namba
So atapata number ndogo ya hao new traders.
Kikubwa aelewe changamoto ya wazo lake.
Kama ni tech guy tuu na hajawahi kuwa winga kariakoo kuna vitu kwake atakuwa anaona tunamkatisha tamaa.
But kwa mtu ambae anaujua uwinga basi ana maono zaidi kwenye hili wazo.