rio ferdinand

Rio Gavin Ferdinand (born 7 November 1978) is an English former professional footballer who played as a centre-back, and was a television pundit for TNT Sports, for ten years. He played 81 times for the England national team between 1997 and 2011, and was a member of three FIFA World Cup squads. He is one of the most decorated English footballers of all time, regarded by many as one of England's greatest ever defenders.
Ferdinand began his football career playing for various youth teams, finally settling at West Ham United where he progressed through the youth ranks and made his professional Premier League debut in 1996. He became a fan favourite, winning the Hammer of the Year award the following season. He earned his first senior international cap in a match against Cameroon in 1997, setting a record as the youngest defender to play for England at the time. His achievements and footballing potential attracted Leeds United and he transferred to the club for a record-breaking fee of £18 million. He spent two seasons at the club, becoming the team captain in 2001, before he joined Manchester United in July 2002 for around £30 million, breaking the transfer fee record once more.
At Manchester United, he won the Premier League, his first major club honour, in a successful first season at the club. In September 2003, he missed a drugs test and was banned from football for eight months from January until September 2004, causing him to miss half a Premier League season, Manchester United's FA Cup triumph, and the Euro 2004 international competition. Upon his return, he established himself in the Manchester United first team and received plaudits for his performances, featuring in the PFA Team of the Year four times in five years. More club success followed with another Premier League win in the 2006–07 season and a Premier League and UEFA Champions League double the following year. His career at United, in which he won six Premier League titles and 14 trophies, ended when his contract expired in 2014, and he subsequently joined Queens Park Rangers where he played for just one season before being released from the club as a result of their relegation from the Premier League. He announced his retirement from professional football on 30 May 2015.
In September 2017, Ferdinand announced his intention to become a professional boxer, partly to help him cope with the death of his wife. His brother, Anton, also a centre-back, played for clubs including West Ham and Sunderland. Former England international striker Les Ferdinand and former Dagenham & Redbridge midfielder Kane Ferdinand are his cousins.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Kutoka Rio Ferdinand hadi DJ Khaled: Kwanini diplomasia yetu ya utalii inafeli na kutia Taifa aibu kimataifa?

    Wana-JF salam, Hali ya mambo mitandaoni imezidi kuchafuka baada ya picha na video zikisambaa zikimwonyesha msanii na prodyuza nguli wa Marekani, DJ Khaled, akiwa ameshika jezi ya timu yetu ya taifa (Taifa Stars) yenye nembo ya "Visit Tanzania". Kurasa nyingi za udaku, huku zikipewa nguvu na...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Rio Ferdinand: Kwa sasa naingiza fedha mara mbili ya nilivyokuwa nalipwa Man United

    Beki na nahodha wa zamani wa Manchester United na England, Rio Ferdinand ameweka wazi kuwa kwa sasa kazi zake zinamfanya alipwe kiwango kikubwa mara mbili ya kili alichokuwa akikipata alipokuwa akiitumikia klabu hiyo. Akiwa United alikuwa alilipwa Pauni 120,000 (Tsh. Milioni 422.5) kwa wiki...
  3. Q

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Ted Cruz anayetaka Marekani ituwekee vikwazo, sio Rio Ferdinand wa kumhonga tiketi ya ndege na hoteli

    Kombo amewaalika Seneta Ted Cruz kuja Tanzania, kwamba serikali itagharamia kila kitu ikiwamo tiketi ya ndege na hoteli, kwa waMarekani imeonekana kama rushwa. Huu hapa ni utambulisho mfupi tu wa Ted Cruz. Ted Cruz ni mwanasiasa na wakili wa Marekani ni Seneta kutoka Texas (Republican) tangu...
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Prosper Mbuba: Rio ameleta manufaa mengi sana, ameangalia goli la Chama, ametembelea serengeti. Hayo ndio mambo tuyapendayo vijana

    Ukimsikiliza huyu jamaa wakuitwa Prosper Mbuba utadhani kama anamwaga sifa za kichawa kwa Makonda au Serikali lakini kiuhalisia ni anafanya mzaha wa kebehi kabisaa Yani amezungumza ujio wa Rio Ferdinand nchini Tanzania kuwa una manufaa mengi sana ikiwemo kuliona goli la Chama na kuifahamu...
  5. tucker carlson

    JamiiForums Tanzania Rio Ferdinand is currently facing a PR headache and why Tanzanians are mad on his visit in the country?

    So, Rio Ferdinand is currently in the headlines, and for once, it’s not for a "Vibe with Five" take or a United rant. He’s been on a three-day whirlwind tour of Tanzania, and the internet is basically split into two camps: those welcoming a legend and those screaming “sportswashing.” Here’s...
  6. tucker carlson

    JamiiForums Tanzania Rio Ferdinand: Mimi si Mwanasiasa na sijaja Tanzania kuzungumzia siasa, sipangiwi cha kufanya

    Naona Rio Ferdinand amejibu mapigo wakuu baada ya wabongo kumpelekea sana 'moto' huko Instagram Akizungumza leo jijini Dar amesema kuwa yuko Tanzania kwa ajili ya kazi ya kusaka vipaji na kwamba ana uhuru wa kufanya maamuzi yake bila kupangiwa na mtu yeyote. "Sababu yangu pekee, sababu yangu...
  7. tucker carlson

    JamiiForums Tanzania Sakata la Rio Ferdinand lafika kwa Watangazaji wa Kenya "Tatizo la Watanzania wanaandamana kiroho"

    Wakuu Naona hawa watangazaji wa Kenya wanaendelea kupeleka moto Mtangazaji wa Radio 47, Mbaruk Mwalimu, amezua mjadala mzito baada ya kutoa kauli za kejeli dhidi ya Watanzania, akidai kuwa nchi hiyo bado iko nyuma kifikra na kisiasa ikilinganishwa na Kenya. Katika kipindi cha Maskani 47...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Rio Ferdinand ashutumiwa Kwa kukubali kutumia michezo kuitakasa serikali dhalimu

    Former England and Manchester United footballer Rio Ferdinand was widely criticised for a May 2026 trip to Tanzania, with campaigners accusing him of "sportswashing" for the government. [1] The backlash centers on the following specifics: The Host: Ferdinand's visit was hosted by Tanzania's...
  9. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania Kulikoni ziara ya Rio Ferdinand, mbona Naibu Waziri hajaonekana?

    Yu wapi naibu waziri wa michezo, ndugu Mwana Fa kutokuonekana kwenye ziara ya legend wa soka Rio Ferdinand?
  10. Club Mate

    JamiiForums Tanzania Machawa wakusanyika kwenye Comments za Rio Ferdinand

    "Wizara ya Amani inajishughulisha na vita, Wizara ya Ukweli na uongo, Wizara ya Upendo na mateso, na Wizara ya Utele na njaa. Mikinzano hii si ya bahati mbaya, wala haitokani na unafiki wa kawaida: ni matendo ya makusudi ya fikra maradufu." George Orwell, Kitabu cha "1984"
  11. Tareq20

    JamiiForums Tanzania Rio Ferdinand anatuhumiwa anatumika kufanya sportswashing kusafisha na kuyafanya mauaji ya Oct/29 kua halali kwa kupitia michezo

    Rio Ferdinand anatuhumiwa anatumika kufanya sportswashing kusafisha na kuyafanya mauaji ya Oct/29 kua halali kwa kupitia michezo naona mijadala imeanza huko times pia wamepost Reddit watu wanadisciss unajua zile Zama za kuficha ficha mambo zimeisha watu wengi tunaelewa vitu vinavyoenda
  12. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Hatumtaki Rio Ferdinand. Amelishwa maneno mengi kuhusu Simba. Kwa haya anayosema tutaonana wabaya

    Ijulikane kama mmemleta kwa ajili ya Simba au Tanzania. Maana naona ujinga mwingi sana unaendelea. Anasemaje anataka aonane na wachezaji wa Simba? Ili iweje? Itokeeje? Ikaaeje? Ni upuuzi hata kumwonesha goal la Chama. Kwani Ligi hii limefungwa goal moja tu? Serikali. Iangalie jambo hili tusije...
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Rio Ferdinand akabidhiwa jezi iliyoandikwa Samia Jembe Ulaya

    Ila uchawa kazi jamaniii! sasa ilo jembe la ulaya limelima mashamba mangapi huko ulaya? Bado tutaona mengi ========== Wachezaji wa zamani wa soka wa Tanzania na wa kimataifa wamekabidhi jezi ya timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kwa mchezaji wa zamani na nahodha wa klabu ya Manchester...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kucheza Kwenye Uwanja wa Siasa: Barua ya Wazi kwa Rio Ferdinand

    Mpendwa Rio, Kuwasili kwako nchini Tanzania kumeleta msisimko mkubwa sana miongoni mwa mashabiki wa mpira wa miguu kote barani Afrika. Kama nguzo ya michezo duniani, sauti na uwepo wako vina uzito mkubwa sana. Kuona ukishirikiana na vijana na kujionea miundombinu ya hapa nchini kunaonyesha...
  15. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Mapokezi ya Rio Ferdinand hapo Airport ya Dar, yamenipa maswali mengi kuliko majibu

    Watu wamejitokeza kwa wingi lakini wananipa mashaka kama wameenda kwa hiyari yao au wamekusanywa kwa malipo. Rio Ferdinand alishastaafu mpira miaka hiyo. Hakuwa na ushawishi mkubwa sana ukizingatia alikuwa anacheza nafasi ya beki. Sasa kwa nyomi iliyojitokeza imenipa maswali maana hata wengi...
  16. McLaren

    JamiiForums Tanzania Baada ya Drogba, Makonda amualika Nahodha zamani wa Manchester United Rio Ferdinand kuja Tanzania

    Mchezaji na Nahodha wa zamani wa Klabu ya Manchester United pamoja na timu ya Taifa ya England, Rio Ferdinand, ameweka wazi kuwa atatembelea Tanzania Mei 19 hadi 22, 2026 kufuatia mwaliko maalum kutoka kwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Paul Makonda. Kupitia ujumbe wake...
Back
Top Bottom