http://api.ning.com/files/xvg03MJhTS*9froBh32XGgVUU18iPC OczjRjubBUoGF-Rju-*RMfq0Nr4X-miLTXJPvMkGkKzqO0wxfOrhdPh8F8C AmKvLhS/1.jpg?width=600
MWEZI MTUKUFU: Machangu wacharazwa bakora! - Global Publishers
picha mbona hamna
Mijitu mingine bana! Wadada wa watu wako kazini yenyewe inajichukulia tu majukumu mikononi. Mijinga kabisa hiyo mijitu.
Leave those girls alone you stupid disrespectful bastards.
Wewe utawekewa fatwah shauri zako. Usijione kuwa uko mbali ndiyo unatukana watu.
http://api.ning.com/files/xvg03MJhTS*9froBh32XGgVUU18iPC OczjRjubBUoGF-Rju-*RMfq0Nr4X-miLTXJPvMkGkKzqO0wxfOrhdPh8F8C AmKvLhS/1.jpg?width=600
http://www.globalpublishers.info/profiles/blogs/machangu[/QUOTE] Huyo kwenye picha kubwa anaishi maeneo ya sinza mori bar.
Mkuu nakuunga mkono, huo ni unyanyasaji wa kijinsia kwanini wasichape bakora na wateja wao au ndio kuogopana? kwani hao wanauzia wanawake wenzao?Unyanyasaji wa kijinsia huu,wanatake advantage ya udhaifu wao wa kimaumbile,mbona vibaka,wavuta bangi wanaendelea kama kawaida au mwezi mtukufu dhambi ni moja tu.
Ningependa nione wakiwaendea mateja na hizo bakora zao,halafu tuone kati yao na mateja nani uamsho.
Wewe utawekewa fatwah shauri zako. Usijione kuwa uko mbali ndiyo unatukana watu.
http://api.ning.com/files/xvg03MJhTS*9froBh32XGgVUU18iPC OczjRjubBUoGF-Rju-*RMfq0Nr4X-miLTXJPvMkGkKzqO0wxfOrhdPh8F8C AmKvLhS/1.jpg?width=600
MWEZI MTUKUFU: Machangu wacharazwa bakora! - Global Publishers
Wanawachapa wao wakiwa kama nani...? wana mamlaka gani kisheria ya kufanya hivyo?
wangewapeleka polisi hii nchi inasheria zake sio kila mtu kujiamulia.
Mkuu nakuunga mkono, huo ni unyanyasaji wa kijinsia kwanini wasichape bakora na wateja wao au ndio kuogopana? kwani hao wanauzia wanawake wenzao?
Tumewazoea, wameshindwa nguvu ya hoja wameibukia kwenye hoja ya nguvu.