Aliyefanikiwa kupata matokeo ya Form four machame girls secondary kwa mwaka 2018 ayaweke hapa tuyaone maana kwenye platform ya necta hayaonekani
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Taja namba ya ShuleAliyefanikiwa kupata matokeo ya Form four machame girls secondary kwa mwaka 2018 ayaweke hapa tuyaone maana kwenye platform ya necta hayaonekani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hajafungiwa?
Una uhakika walifanya mtihani wa kidato cha nne mwaka jana?...Aliyefanikiwa kupata matokeo ya Form four machame girls secondary kwa mwaka 2018 ayaweke hapa tuyaone maana kwenye platform ya necta hayaonekani
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes they didUna uhakika walifanya mtihani wa kidato cha nne mwaka jana?...
Machame sio kiboshoweka namba ya shule upate matokeo wewe acha kudeka,mfano Kibosho Girls namba yake ni S0205,sasa kama huna hiyo namba tunakusaidiaje?
Labda shule imefutwa