Machali: Niliondoka CHADEMA kwasababu ya siasa za wahafidhina

zzk anajidai kama punda eti hawezi kukamuliwa! anarusha mateke akitaka kuguswa. Atakamuliwa tu pamoja na kurusha mateke maziwa yatamtoka tu. Watu wameshakamua mpaka simba baba! zzk awe mpole tu akamuliwe kistaarab!

Zana za kilimo mbeya hana jipya.
 
Nataka kumuuliza machali swali rahisi na gumu ana shamba la heka kumi amepanda mahindi hilo shamba limestawi kweli kweli siku ya kupalilia akakuta mahindi yamechanganyika na magugu je atayaacha magugu yalimeze shamba lake au atayangoa magugu ili mahindi yake yaendelee kustawi vizuri?.
 
Huyu si ndiye aliyemsaliti Kafulila kwa kuvujisha habari zake kwa mwenyekiti wa NCCR kipindi kile Kafulila anautaka uenyekiti?

Hawa jamaa wa Kigoma wana matatizo ya asili.
Eti na kafulila manautaka uenyekiti wa nccr....kudadeki.
Hivi vijamaa wa kigoma noma.
 
Munafiki huyo. Mwaka 2009 akiwa M/kit cdm-SAUT mwza alikula pesa ya Tawi. Wakati anakabidhi kulitokea mtafaruku mkubwa sana.
 
Hawa jamaa wa Kigoma wana matatizo ya asili.
Eti na kafulila manautaka uenyekiti wa nccr....kudadeki.
Hivi vijamaa wa kigoma noma.

hahahaha bora yake kafulila alimpgia magoti mbatia wakayamaliza,sasa zzk na tamaa zake hatak kujishusha
 
kama machali kayasema haya maneno basi ni mnafiki. Yeye hadi kutoka chadema alidanganywa na zzk kuwa yeye na kafulila watangulie nccr. Zzk baada ya kutoenda nccr alimsapoti kafulila kifedha lakini alimtosa machali. Mwaka 2011 walimpa mpango wa mapinduzi ya ndan ya nccr akakataa na ndiyo maana yeye na zito hawaelewani. Akiojiwa na star tv alimlahumu kafuilila kuwa alitaka kufanya lile lililotaka kufanyika chadema. Baada ya kumshambulia kafurila kwenye vyombo vya habari, nakumbuka wananchi kasulu walimzomea sana akawa kama amekosa mwelekeo. Yeye na zzk wanaelewana? Nina wasiwasi na hawa vijana wa kigoma
 
Maombi Ya Aliyekuwa Askof Msaidizi wa Jimbo kuu Methodius Kilaini 'yalitunusuru' kupata Viongozi Wahafidhina 2010, Tunatarajia huko huko alipotupwa Bukoba ataendeleza Maombi yake 2015.

Jimbo kuu Alikuwa katindikiwa 'LUBISI' kwa sasa huko ni wa Kumwaga!
 
hahahaha bora yake kafulila alimpgia magoti mbatia wakayamaliza,sasa zzk na tamaa zake hatak kujishusha

Juzi juzi Tu hapa ZZK kawabwaga CDM mahakamani na Tundu Lissu wenu kwa kushindwa kwa hoja.... Sasa ndo mfukuzeni ndo muone timbwili lake.. ZZK amedhihirisha akili ndogo haiwezi kuishinda akili kubwa!
 
Wnapenda sifa hao, ukiwasifia sana wanadhani wao ndiyo wanaojua kila kitu, waangalie hata huko maofisi au hata ukishi nao utawajua tu.

Hawa jamaa wa Kigoma wana matatizo ya asili.
Eti na kafulila manautaka uenyekiti wa nccr....kudadeki.
Hivi vijamaa wa kigoma noma.
 
Wakuu, katka hali isiyo ya kawaida moses machali akiongea ktka kipindi cha hotmix kinachorushwa na eatv jion hii,anasema yeye aliamua kuondaka chadema kwakua siasa za wahafidhina zilimchosha.

ndugu yake zitto nae ni mmoja wa hao wafaidhina....
 
Juzi juzi Tu hapa ZZK kawabwaga CDM mahakamani na Tundu Lissu wenu kwa kushindwa kwa hoja.... Sasa ndo mfukuzeni ndo muone timbwili lake.. ZZK amedhihirisha akili ndogo haiwezi kuishinda akili kubwa!

Mkono anakodisha magari siku hizi?!
Zana za kiliko mbeya anakodisha gatibkwa Mkono kufanyia nini? Ana biashara gani?!
 
Juzi juzi Tu hapa ZZK kawabwaga CDM mahakamani na Tundu Lissu wenu kwa kushindwa kwa hoja.... Sasa ndo mfukuzeni ndo muone timbwili lake.. ZZK amedhihirisha akili ndogo haiwezi kuishinda akili kubwa!
kama ana wafuasi wengi ndani ya kamati na baraza kuu kilichomfanya awapigie magoti ccm wamsaidie mahakamani nini?
 
Wakuu, katka hali isiyo ya kawaida moses machali akiongea ktka kipindi cha hotmix kinachorushwa na eatv jion hii,anasema yeye aliamua kuondaka chadema kwakua siasa za wahafidhina zilimchosha.

Huwa hajui hasa anataka nini. Waandishi makini wangemhoji kuhusu kauli zake hizi;
Gazeti la ----------- lina habari nzito tena za kushtusha.

Mbunge wa Kasulu mjini Moses Machali amemshutumu vikali David Kafulila kwamba anatumiwa na Naibu Katibu mkuu wa Chadema Zitto Kabwe kukivuruga chama hicho.

Mbunge huyo wa Kasulu anadai lengo kubwa la Kafulila ni kumwondoa mwenyekiti wa chama hicho James Mbatia ili yeye awe mwenyekiti.

Pili Machali amedai kwamba baada ya Kafulila kuwa mwenyekiti atamkaribisha Naibu Katibu mkuu wa Chadema Zitto Kabwe ili awe mgombea Urais kupitia NCCR.

Moses machali ameendelea kudai kuwa baada ya mpango huo kukamilika watatumia mbinu mbalimbali kuivuruga Chadema kwa kuhama na kundi kubwa la wanachama wake.

Mbunge huyo ameendelea kudai kuwa kamwe hatakubali mbinu hiyo kwani Zitto na Kafulila wanatumika kuua upinzani.

Alipoulizwa kwanini watake kumuondoa Mbatia kwanza amesema hiyo ni kutokana na sababu kwamba kamwe Mbatia hatamkubalia Zitto kugombea urais kupitia NCCR.
.

zzk anajidai kama punda eti hawezi kukamuliwa! anarusha mateke akitaka kuguswa. Atakamuliwa tu pamoja na kurusha mateke maziwa yatamtoka tu. Watu wameshakamua mpaka simba baba! zzk awe mpole tu akamuliwe kistaarab!
n

hahahahahaaaaaaa!ashakamuliwa hadi hapo alipofikia
 
Back
Top Bottom