Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,444
Sio wa ccm tu, hata wa cuf wanahusika...
Hapa Mtatiro akiambiwa CUF ni CCM B anatokwa povu
Sio wa ccm tu, hata wa cuf wanahusika...
Kama kuna mwana jf anaangalia bunge ataona kulikuwa na umuhimu wa wabunge kutosusia mjadala bali wangeupinga kwa hoja kama anavyofanya MH.JOSEPH MACHALI-KASULU MJINI[NCCR_ MAGEUZI]
Jamaa Machali nimemkubaliii......katoa point nzuri sana,amenifurahisha na kunifanya niendelee kuangalia. Ila huyu Ummy anavyowaponda wanasheria wenzake zinamtosha kweli??????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Eti wakasome tena sheria hahahaaaaa kaaaaz ipoooo
Kama kuna mwana jf anaangalia bunge ataona kulikuwa na umuhimu wa wabunge kutosusia mjadala bali wangeupinga kwa hoja kama anavyofanya MH.JOSEPH MACHALI-KASULU MJINI[NCCR_ MAGEUZI]
Ummy ndiyo nani tena................ Viti maalumu nini.....................?? Degree za.........!!! Au ndiyo wale walikuwa na chain miguuni!!
Sio wa ccm tu, hata wa cuf wanahusika...
hawezi kutoka nje kwani yeye ni sehemu ya maamuzi ya CCM kupitisha muswada. Anachokifanya anatuhadaa kwa kujifanya yuko na sisi watatnzania wakati ukweli siyo.
Ikumbukwe tu kuwa hakuna atakachosema kitawarudisha nyuma CCM
Machali anasema anawaunga mkono CDM na NCCR waliotoka nje na anasema naye ilikuwa atoke ila amebaki ili awaeleze ukweli hasa MPS wa CCM. wewe unakwenda kinyume na mawazo yake halafu unajifanya unamuunga mkono Be careful mkuu otherwise ni aibu tuNimefuatilia mchango wa mbunge wa kasulu mjini mosses machali wakati anachangia muswada wa sheria kwa ajili ya mchakato wa katiba. Amechangia vizuri na kwakweli amenifanya nione uamuzi wa chadema na baadhi ya wabunge wa nccr akina kafulila na mkosamali haukuwa na busara wala mantiki. Machali amepinga muswada na watanzania tumesikia hoja zake. Huu upinzani wa kususa mijadala naona kama ni kupotoka. Nawashauri jamani hata kama mnajua ccm wamesha amua muhimu kuonesha watanzania mawazo yenu badala ya kususa kila kukicha. Ni maoni yangu. Napenda kuwasilisha
Kama kuna mwana jf anaangalia bunge ataona kulikuwa na umuhimu wa wabunge kutosusia mjadala bali wangeupinga kwa hoja kama anavyofanya MH.JOSEPH MACHALI-KASULU MJINI[NCCR_ MAGEUZI]
Nimefuatilia mchango wa mbunge wa kasulu mjini mosses machali wakati anachangia muswada wa sheria kwa ajili ya mchakato wa katiba. Amechangia dvizuri na kwakweli amenifanya nione uamuzi wa chadema na baadhi ya wabunge wa nccr akina kafulila na mkosamali haukuwa na busara wala mantiki. Machali amepinga muswada na watanzania tumesikia hoja zake. Huu upinzani wa kususa mijadala naona kama ni kupotoka. Nawashauri jamani hata kama mnajua ccm wamesha amua muhimu kuonesha watanzania mawazo yenu badala ya kususa kila kukicha. Ni maoni yangu. Napenda kuwasilisha
Mchezaji akifunga magoli mazoezini huwa hayaesabiki, ccm na machali ni wachezaji wa timu moja na sasa wako mazoezini tena wanatumia magoli madogo.Amewaambia wabunge watakaopitisha mswaada huo laana za watz zitawaangukia!