Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,242
- 98,236
ayatullah uzushi ni jadi yake, hata aibu hana ya kumzushia mtu eti anahamia kwenye chama chake cha wasaliti. Ukisikia watu waliosoma lakini hawajaelimika huyu ayatullah ni mmoja wao. Kafulila kamkana kuhusu escrow na machali pia kamkana kuhusu kuhamia kwa wasaliti. Sijui atakuja na uzushi upi mwingine.
Cc: measkron
cc:
Motochini
Last edited by a moderator: