Machafuko Gaza: Ulaya sasa 'Kimeumana Rasmi'

Hakuna cha taifa teule ni mtindio wako wa ubongo ulivyoaminishwa na vitabu walivyokuja navyo Africa, na kutuambia tufumbe macho kuja kufumbua wakawa wamebeba Mali zote, na bado unapigishwa magoti na kufumba macho na ubongo wako pamoja na kujua kusoma na kuandika lugha kadhaa. Hivi vyakula vya kizungu vimeleta athali Sana mutindio wa ubongo na nguvu za kiume na kutofikiri kabisa.
Tatizo unaziamin akili zako kuliko aliye ziumba hizo akil
 
Which Dunia unaiongelea? Hii Dunia ya kina Biden wanaosema Israel ina haki ya kujilinda au ni Dunia ya waliopewa hadhi ya (Wakimbizi) wanaopiga kelele?
Dunia,kwani Biden ni nani? Ana mtazamo wako kama wengine lakini dunia ikikwamulia utakubali tu.

Unakumbuka maandamano ya BLM? Si dunia iliandamana,mbona yule askari ameshtakiwa japo mzungu?
 
Netanyahu kafanikiwa kucheza Siasa vyema nchini mwake

Alikuwa anakabiliwa na upinzan mkubwa sana nchini mwake wa kisiasa, mbinu hii ya kuwa provoke wa Palestina imekuwa inatumika mara kwa mara kuzima upinzani wao wa ndan wa kisiasa
 
Kabisa hata mm naona
 
Dunia,kwani Biden ni nani? Ana mtazamo wako kama wengine lakini dunia ikikwamulia utakubali tu.

Unakumbuka maandamano ya BLM? Si dunia iliandamana,mbona yule askari ameshtakiwa japo mzungu?

Unalinganisha Tango na Apple hapa? Unasikia msimamo wa “The Biden Administration” au unajiongelea tu hapa.BLM lilikuwa swala la Wamarekani wenyewe hata wasingeandamana bado Askari yule angeshtakiwa tu. Haya ya Israel hayakuanza jana na wala hayatakwisha leo. Hao Palestine wajifunze kujitenga na Hamas ndiyo itakuwa salama yao,vinginevyo watatembezewa kichapo kama kawaida. Hivi Arabs Countries mbona zimekaa kimya,si waende wakawasaidie ndugu zao sasa
 
Nimecheka hadi niliyekaa naye amenishangaa. Kwa kuwa sipendi ajue niko jf nimeamua nisimame niondoke.

Yaani ikitangazwa kurudi kwao tu maandamano yanaahirishwa. Wanaogopa kurudi kwao?

Mkuu hawa wanachekesha sana,wanabwata bwata huku wapo kwenye neema.Hawataki hata kupasikia tena kwao
 
Back
Top Bottom