secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 24,216
- 51,692
Atakuwa kuchanganya tu.Za mwizi ni arobaini, umemnasa
Atakuwa kuchanganya tu.Za mwizi ni arobaini, umemnasa
Sasa nimeelewa.Mtoto wa mwisho wa kiume ndio mkubwa kuliko wote, hivi hukumuelewa Yesu aliposema waacheni watoto wadogo waje kwangu kwa maana mdogo ndie alie mkubwa kuliko wote? Wewe endelea kujivuruga tu mimi simo
Bro pokea simu number inaishia na 324.Sahivi uko wapi?
Uhalisia haina makosa, Bali uongo, haukosagi makosa
Chukua point kwa mkeo siku zote nani alikuwa anakupakulia?Mhhhhhhh mbona mnapenda kuwaza ujinga Sana
So huwezi kumtuma mwanao?
limelewa hilo.Yaani wewe ni kaka mkubwa, halafu ni last born na una wadogo zako watano? Hii imekaaje, mkuu?
Sa mbona simu ulikua hapokei bro, ukielewana na mkeo unatuchunia ndugu zako.....mkigombana unakuja tena au sioNimesharudi home suluhu imekuja yenyewe