Machache kuhusu filamu za ngono Marekani

Hizo figure zako nadhani ziko wrong, dola 800 kwa mfano, ni 1,6mil roughly. Nadhani ni kidogo sana.

Unaposema kwa mwaka wanapata dila 100,000, Hiyo ni 200mln roughly, sio hela nyingi sana hiyo boss. Wasingekimbilia huko. Na huyo unasema anamiliki utajri wa dola 30ml, ambazo ni Kama 60bn, amezipata kwa miaka mingapi ilhali kwa mwaka kipato ni 200ml 500ml. Miaka 100 ya porn sio.



Pse review
Labda ni per scene mkuu, sasa mtu unajua kwa siku anacheza scene ngapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
aisee! Tz kenya na Uganda vip, biashara hii haijakolea tuingie labda tutatoka kimaisha
Ukiingia kwenye pornsite unaweza jiunga na kufungua channel yako ya live ambayo utalipwa kulingana na idadi ya mashabiki ulionao. Hiyo haina limit ya inchi. Kuna watu wanatengeneza hadi dola 22,000 kwa mwaka but inazidi
 
Wengi wa hawa actors na actresses huwa careers zao zikielekea ukingoni wanaanza kudevelop depression na kukosa amani na wengi hucommit suicide....

kuna mmoja anaitwa jaimee foxworth,aliigiza miaka ile tamthilia ya Family matters akiwa mdogo,anasema anajutia sana kuigiza porn na sasa amekuwa masikini kabisa
 
Back
Top Bottom