Maceleb waliotangaza nia ya kugombea ubunge 2015

Maceleb waliotangaza nia ya kugombea ubunge 2015

1. PROFESA JAY (Kupitia CHADEMA)
2. AFANDE SELE (Kupitia CHADEMA)
3. KINGWENDU NGWENDULILE (Chama bado hakijafahamika)


#Anyways , hivi karibuni tusishangae haya majina pia yakitangaza nia;

1. WEMA SEPETU
2. SIR NATURE
3. CHEGE CHIGUNDA
4. SHILOLE KIUNO
5. ADAM MCHOMVU, e.t.c

prof Jay, Afande Sele, Kala J, Roma, Niki wa pili, Bonta, Niki mbishi, incredible, na wengine wenye uandishi wa dizaini hii wakigombea jimboni kwangu naweza kuwapa kura yangu ila usiniambie sijui shilole diamond wema nk
 
Back
Top Bottom