Maceleb waliotangaza nia ya kugombea ubunge 2015

kende

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2013
Posts
3,527
Reaction score
1,669
1. PROFESA JAY (Kupitia CHADEMA)
2. AFANDE SELE (Kupitia CHADEMA)
3. KINGWENDU NGWENDULILE (Chama bado hakijafahamika)

#Anyways , hivi karibuni tusishangae haya majina pia yakitangaza nia;

1. WEMA SEPETU
2. SIR NATURE
3. CHEGE CHIGUNDA
4. SHILOLE KIUNO
5. ADAM MCHOMVU, e.t.c
 
shilole alishatangaza kupitia magamba
 
Wanaofaa ni wale wanaofanya mziki wa kiharakati,kiukombozi.
Nawaunga mkono prof J na Afande Sele.
Mtu kama Kalla Jeremia na Roma Mkatoliki pia wanafaa maana akili zao na mawazo yao yamejikita kutatua matatizo ya wananchi.
Wale wabana pua wengine ambao wao bila kuhusisha mapenzi wanaona bado hawajaimba kweli hapana ubunge.
 
1. PROFESA JAY (Kupitia CHADEMA)
2. AFANDE SELE (Kupitia CHADEMA)
3. KINGWENDU NGWENDULILE (Chama bado hakijafahamika)

#Anyways , hivi karibuni tusishangae haya majina pia yakitangaza nia;

1. WEMA SEPETU
2. SIR NATURE
3. CHEGE CHIGUNDA
4. SHILOLE KIUNO
5. ADAM MCHOMVU, e.t.c

Nadhani hao uliowataja sio wote ni Macelebraties kama unavyotaka kutuaminisha. Wengi wao ni Performers & Intertainers ( Washereheshaji na wachekeshaji tu ) kwa lugha lahisi.
 
1. PROFESA JAY (Kupitia CHADEMA)
2. AFANDE SELE (Kupitia CHADEMA)
3. KINGWENDU NGWENDULILE (Chama bado hakijafahamika)

#Anyways , hivi karibuni tusishangae haya majina pia yakitangaza nia;

1. WEMA SEPETU
2. SIR NATURE
3. CHEGE CHIGUNDA
4. SHILOLE KIUNO
5. ADAM MCHOMVU, e.t.c

Na mimi pia Prof ..... jina langu ntalitaja hapo badae ntagombea ubunge kwa tiketi ya mgombea binafsi jimbo sumbawanga mjini
 
Wanaofaa ni wale wanaofanya mziki wa kiharakati,kiukombozi.
Nawaunga mkono prof J na Afande Sele.
Mtu kama Kalla Jeremia na Roma Mkatoliki pia wanafaa maana akili zao na mawazo yao yamejikita kutatua matatizo ya wananchi.
Wale wabana pua wengine ambao wao bila kuhusisha mapenzi wanaona bado hawajaimba kweli hapana ubunge.

Afande sele?? Kwa chama gani ?
 
afande sele hafai kuwa kuwa mbunge mvuta bangi yule
 
Back
Top Bottom