Fullfigadiva J
Member
- Sep 29, 2011
- 92
- 18
Wiki iliyopita Tulikuwa tumempoteza Eng Mosha, Nilipokuwa msibani niliona watu wengi wanaopenda umaarufu wakija msibani usiku baada ya mida ya kazi. Former miss T run up N. Mohd alifika na bahati nzuri nilipokaa nilikuwa na watoto wa marehemu wa kiume na wa kike cha ajabu mlimbwende huyu aliingia bila kusalimia wafiwa ikiwa na maana hajuani nao kwa karibu na kwenda kujiweka kwa wakina mama na hakuchukua hata dk 45 akatoka akijifanya kuchat kwenye simu na kuondoka. Tulijiuliza na wadau wengine pale kwamba hata misibani watu huja kuuza sura haswa wakijua misiba hii ni ya watu prominent. Watanzania tujaribu kuacha tabia hii.