MADARAKA DANIEL
Member
- Oct 26, 2012
- 93
- 22
Nimenunua computer aina ya macbook, tatizo linalonisumbua kwenye hii pc ni kwamba nikiplay nyimbo ambazo ni audio zinakubali, lakini video zinagoma na media player ambayo inatokea wakati wa kuplay video ni quick timer player..
naomba msaada kama mtu anajua media player nyingine ili ni download, au ni media player gani zinafit kwa hawa jamaa wa macbook,na ni ipi njia rahisi ya kushusha hizo media player.....Natanguliza shukrani zangu kwenu wadau wa hili jumaa.