KUTATABHETAKULE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 4,598
- 4,197
Aisee! Usifanye hilo kosa. Watakupeleka kusikojulikana!
Aisee! Usifanye hilo kosa. Watakupeleka kusikojulikana!
Hapa mitaa nilipo tunakula nyama ya nyati karibia kila baada ya siku mbili!
hii nyama nshawai kuila ila ilikua ya kawaida sana
Hii ndio shida ya jf kidogo tu tushaanza kutishana,tushasahau kuna watu hawajui mboga zingine zaidi ya nyama pori na wana afya imara inayowafanya waishi mpaka kuwa vikongwe tofauti na hizi nyama zenu mnazopima ndio muuze.Most of these wild animals harbour disease-causing microbes particularly Viruses!
wapi huko hawajui nyama zingine, talk with vivid examples!Hii ndio shida ya jf kidogo tu tushaanza kutishana,tushasahau kuna watu hawajui mboga zingine zaidi ya nyama pori na wana afya imara inayowafanya waishi mpaka kuwa vikongwe tofauti na hizi nyama zenu mnazopima ndio muuze.
Sent using Jamii Forums mobile app
You are right Mkuu. Wanakula majani ambayo yenyewe Ni dawa nzuri. Hivyo hawana hivyo virusi Kama anavyotaka kupotosha ummaAcha uoga unachosema sio sahihi!!
kwa taarifa yako nyama ambayo ipo safe ni hiyo ya pori....
kuliko hao wanyama wa kufuga
Kwani huwezi kwenda na Dakitali wa mifugo?Kwa taarifa yako epuka sana nyama pori. Mara nyingi magonjwa ya mlipulo hutoka kwa hao Viumbe rejea Ebola, Corona nk nk
Inahitaji umakini wa hali ya juu siyo utani hiyo
Kwani kuuliza hapa sio kufanya utafiti ?Tembelea ofisi husika wakueleze/wakupe. Tusiwe wavivu wa kutafiti.
SHOULD EXPERIENCE 1st HAND INFO!Kwani kuuliza hapa sio kufanya utafiti ?
Ukweli Sheria inayosimamia utunzaji na uvunaji wanyamapori(wildlife conservation act 2009 part 5) mwenye uwezo wa kuwekeza tayari ni tajiri, si mtu anaetaka kujiajiri.Nyamapori inaweza kuambukiza Corona, jihadhari usiile.