Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 10,605
- 15,452
Pale nyuma kuna shamba la mstaafu, hata miye kanichanganya. Dakawa kuna skimu ila bei ya kukodi duuu.Mkuu mbele ya madizini ipi? Mbona hueleweki mara useme dakawa mara turiani mbele ya madizini.
Ebu weka mambo kiufasaha usije ukapotosha watu.
Au zinaongea nyagi dry mkuu?!
Kuna skim Dakawa upite pale ferry ukate kulia uanze mvomero kuna skimu pale Mkindo unaenda chalz unafika Turiani. Ndiyo unapotq lile shamba la mstaafu unavuka ule mto unaongia madizini zen town kulia unaikuta Mtibwa. Sasa mmh 😇Hapana mkuu
Hapana mkuu
Mkindo Yale magodown ni ya Makala Amos na hapo karibu na chuo Cha wachina ni Mzee Mwinyi senior.Kuna skim Dakawa upite pale ferry ukate kulia uanze mvomero kuna skimu pale Mkindo unaenda chalz unafika Turiani. Ndiyo unapotq lile shamba la mstaafu unavuka ule mto unaongia madizini zen town kulia unaikuta Mtibwa. Sasa mmh 😇
Nilikata sana mitaa miaka ile ya 2000 mwanzoni mpk Mziha kule wkt hakuna lami. Umeandika sanene umenikumbusha ile bar aise.Mkindo Yale magodown ni ya Makala Amos na hapo karibu na chuo Cha wachina ni Mzee Mwinyi senior.
Thank you alot, hiyo ni roho nzuri ya kuwatakia wengine...Big upPale turiani Morogoro, kuna sehemu inaitwa dakawa karibu na mto wamii , yaani pembezoni mwa mto wami , karibu na kambi ya kiwanda cha miwa cha mtibwa ( dakawa).
Kuna mchongo wako ewe kijana wa kupiga pesa .
Kuna mapori ya bure kabisa una feka kwa tani yako unapata shamba la umwagiliaji , unalima misimu mitatu bure , baada ya hapo unakodishiwa na kupewa fursa ya kununua kwa bei sawa na bure.
Ewe kijana shtuka sikubembelezi gademitt.
Yule alilewa. Huwezi kuandika Turiani mara Dakawa. Alitakiwa awe specific coz mtu hawezi kusafiri mpaka Turiani then arudi tena Dakawa utakuwa ni wendawazimu huo.Pale nyuma kuna shamba la mstaafu, hata miye kanichanganya. Dakawa kuna skimu ila bei ya kukodi duuu.