Mabroo hatutoi connection, dogo usizubae stuka!

Naijua turiani vizuri sana enzi hizo nilikuwa nakunywa bia baa zifuatazo.
1. Usangi.
2. Meeting point
3.sanene
4. Hapa kwenye geti la darajani sikumbuki jina.

Maeneo maarufu.
Nyumba ya mkapa MAREHEMU.
Ikulu ndogo katikati ya miwa karibu na airport hapa ndio alifichwa piere nkurunzinza wakati flani.

Vijiji maarufu kunke lusanga mhonda nk ni muda sana Sasa so turiani naifahamu vizuri.
 
Mkuu sisi wazee hatuhusiki na hiyo fursa?
 
🌙shiner vip tena 😄
Wanajaribu kutikisa meza ilihali una uwezo wa kiweka oda "upuya" in 🍻 voice 🤣🤣
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…