Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,883
- 67,330
Ana somaMtimue dogo asijekukuachia kopi yake
Haiwezekani ase 😆Kitam kula na nduguyo au nduguyo anakula kitamu na wewe?😄😄
NijibuMfano ungekuwa wewe ungefanyaje?
Mfano ungekuwa wewe ungefanyaje?
Mfano ungekuwa wewe eti ungefanyaje?
Mwachie dogo nyumba wewe na mkeo mkapangeAna soma
Ana soma
Ngumu sana iyoMwachie dogo nyumba wewe na mkeo mkapange
AiseeKama anasoma basi anamhadisia vistory vya hapa na pale vya wanafunzi wenzie hivyo usimind
Tatizo unatumia muda mwingi jikoni kupika mavyakula. Acha huyo dogo ajilie tu unyumba Poor BrainMfano mdogo wako wakiume ana ukaribu sana na mkeo yaani unakuta jikoni wanapiga story mpaka wanacheka ile mbaya ila mkeo akirudi chumbani mnacheka kiasi tofauti na akiwa na mdogo wako utachukua hatua gani?
Mpaka wamenipa jina et wananiita bwana nguzo kweliKama anasoma basi anamhadisia vistory vya hapa na pale vya wanafunzi wenzie hivyo usimind
Au sioWakati unasoma comments za mabro, kibao hiki kikusindikize.......
View attachment 3356085
Sasa si nampikia mke wangu kwa mapenzi nimemzoeshaTatizo unatumia muda mwingi jikoni kupika mavyakula. Acha huyo dogo ajilie tu unyumba Poor Brain