The iron batterfly
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 1,952
- 2,527
No inachosha aiseehWANAJUA WE NDO JEMBE LAO MKUU PIGA KAZI
TUKUTANE MEI MOSI NA 200K
WANAKU-FRUSTRATE UKIMBIENo inachosha aiseeh
Kama nimeomba ruhusa ya kula sikukuu,nimenyimwa wakati wengine kibao wamepewa
Na muda mwingi hata ofisini hawaonekan
Sitak hata hizo zawadi zao kwani wananinyanyasa kisaikolojia
Napata wasiwasi huenda wewe ndiyo mwenye kasoro! Inakuwaje sehemu ya kazi watu wengi namna hiyo wakuandame? Inaonekana pengine social life yako ina makandokando mengi. Mimi nadhani unatakiwa ujiangalia upya. Uchapakazi ni pamoja na kuwa na uhusiano mzuri na wafanyakazi wenzako, bila kujali upungufu wao. Ni watu wengi huwa wanadhani kuwa mfanyakazi bora ni kuwahi kazini na kufanya kazi kwa bidii basi! Hilo ni kosa! Hata kama uu mchapakazi namna gani kama huwezi kuji-adapt na mapungufu ya wafanyakzi wenzako na ukawa na uhusiano mzuri nao basi una kasoro.No inachosha aiseeh
Kama nimeomba ruhusa ya kula sikukuu,nimenyimwa wakati wengine kibao wamepewa
Na muda mwingi hata ofisini hawaonekan
Sitak hata hizo zawadi zao kwani wananinyanyasa kisaikolojia
Ndugu miongoni mwa wanaowahi ama kuchelewa sipoNapata wasiwasi huenda wewe ndiyo mwenye kasoro! Inakuwaje sehemu ya kazi watu wengi namna hiyo wakuandame? Inaonekana pengine social life yako ina makandokando mengi. Mimi nadhani unatakiwa ujiangalia upya. Uchapakazi ni pamoja na kuwa na uhusiano mzuri na wafanyakazi wenzako, bila kujali upungufu wao. Ni watu wengi huwa wanadhani kuwa mfanyakazi bora ni kuwahi kazini na kufanya kazi kwa bidii basi! Hilo ni kosa! Hata kama uu mchapakazi namna gani kama huwezi kuji-adapt na mapungufu ya wafanyakzi wenzako na ukawa na uhusiano mzuri nao basi una kasoro.
Ntamfuata keshomfuate bosi mueleze kwa heshima ila direct kuwa unaona kama anakusakama.Ataona aibu na kuacha.Hata akimind ataacha. Asipoacha ujue amekupangia njama kubwa sana.
WANAKU-FRUSTRATE UKIMBIE
Jamen sio hobby zanguHata kwenye lunch zao siendi.
Sina stori nao.
Sina maswala ya udaku, soka wala nini.
Naona kosa lako ni hilo la kuishi kama vile uko peke yako.
Yaani watu wa udaku wakisema unaringa, hakuna watu wa soka wa kuwaambia jamani hua tunakutana naye kwenye soka.
Una maboss wangap
Kwa namna ulivyokua unawajibu watu kwenye baadhi ya threads humu JF inaonekana hujui namna ya kuishi na watu regardless ya uwezo wako wa kufanya kazi ni mkubwa au la.
"When in Rome, do as the Romans do".
unafanya kazi wapi?? maana hao wafanyakazi wenzako wanaonekana ni majipuHabari za jioni wana jf.
Niende kwenye mada. Ni hivi nafanya kazi ofisi ya serikali.Ni kijana kwenye late 20's. Ni Afisa flani niliyeajiriwa like 5 years ago.Nina kadegree.
Ishu iliyofanya nilete uzi huu,boss wangu kwa maana ya Mkuu wa idara,mkuu wa kitengo na wazee flani wananiandama sana ofisini.
Niko vizuri kwenye kutimiza majukumu yangu.Nikifika job sina muda wa kupoteza kwenye machai wala soga za siasa,mpira,udaku ama lolote.Nikifika after salamu za hapa na pale na kusaini naket kwenye meza yangu napiga kazi kwa malengo niliyojiwekea.Nikiri uwezo wa kazi ninao na ni mwepesi kuelewa mambo.
Kwenye chai ama lunch zao siendi. Nashukuru Mungu nimepata wigo wa kufahamiana na watu wengi sana ambao kifupi wananiletea kazi za hela si haba.Yani nikikubaliana na mtu,njoo kesho uchukue kazi yako ujue itakuwa hivo.Napenda sana kukeep promise na kuitimiza.Hiyo imefanya nipendwe na wateja wengi na hata maboss wa idara nyingine ni rafiki zangu sana ingawa ni watu wazima.wakiwa na ishu kwenye field yangu lazima wanitafute.
Wafanyakazi wenzangu kwenye idara wanawahi job 12 kamili wapo ila ikifika saa 4 asubuh hawapo,ama wakiwepo ni kuzunguka kwenye korido na maofisini wakipiga soga.
Wanachukua ruhusa kila mwezi na wanapewa,ila nikiomba mie nitawekewa mizengwe hadi nijute. Wengine wanakuja j3 na j4 then hawaonekani hadi j3 inayofata na inakuwa siyo kesi.
Ila itokee nisionekane hata siku moja inageuka kesi,najadiliwa hadi kwenye vikao vya idara.Nimechoka kusakamwa na hawa maboss.Najiuliza why me.Sina dharau wala shobo na mtu.Nawaheshimu kama maboss zangu Sema tu nimejiweka mbali na hao maboss kwani sina tabia ya kujikombakomba bila sababu kwa mtu.
Wananichafua kila sehemu.hata kama jambo sijafanya wala kusema nitatajwa tu.imagine boss wako anamwita mtu anayehisi ni mpenzi wako anamwambia kaa mbali na flani hafai.
Naombeni ushauri nifanyeje? Ama nihame halmashauri manake imekuwa too much.
Eithier unawaharibia kazi zao. Au unawakera wanaona utachukua nafasi. Wanataka wakutoe kwenye mood ili ushindwe kufanya kaz.. ili ufukuzwe
Halmashauri moja hiviunafanya kazi wapi?? maana hao wafanyakazi wenzako wanaonekana ni majipu