wa wapi wewe?u must be so selfish kama viongozi wengi wa tanzania inawezekana wewe ukawa na mazingira mazuri ya kazi na mabosi wako wa kihindi ila majority ya hawa watu ni washenzi na hawana utu, iamspeaking from expirience atatolewa mtu huko india aje unamfundisha kazi halafu baadae unaambiwa huyo ndio bosi wako ukichunguza he was just one useless scrap in india.Acheni ujinga nyinyi!
Hakuna wa kukunyanyasa ukiwa unafanya kazi kwa bidii