mabosi Wa Kihindi Ni Washenzi

mabosi Wa Kihindi Ni Washenzi

Majigo

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
5,519
Reaction score
1,831
kuna Bro Wangu Hapa Hom Ana kadigrii Kake
Kutokana Na Uhaba Wa Ajira Akawa Amejishikiza Ktk Kampun Moja Hapa Mjini(boss Muhindi)

Yaani Wanamovertime Bila Malupulupu Yoyote, Inatakiwa Aingie Saa 2 Asubuh
Kutoka Saa 10 jion
Lakini Wao Ikifika Mda Wa Kutoka Wanampa Kazi ili Hasiweze ondoka
Naye Kulalamika Anashindwa Kwani Kasota Sana Uraiani!

Kwa Hari Hii Ni Bora Mimi Ninaezunguka Road Na Kapu La Karanga!
 
Umesema amesota saaana, kwa hiyo ameamua kujishikiza kwa muda tu. Siku akipata kazi ya kufanya kwa saa 4 au 5 kwa siku tena kwa mshahara mnono na marupuru, maovertime kibao basi ataondoka mbio hata haina haja ya kuwaaga hao wadosi eeenh!
 
Si watu wa kufanya nao kazi ila wazuri kupatia uzoefu wa kazi.
 
Pole zake. Ila wahenga wanasema '..ukiona shida zinazidi neema inakaribia..' So mwambie akaze

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Majamaa wana tabia za unyonyaji na unyanyasaji kwa watu wasio wa race yao, hasa blacks
 
Umesema amesota saaana, kwa hiyo ameamua kujishikiza kwa muda tu. Siku akipata kazi ya kufanya kwa saa 4 au 5 kwa siku tena kwa mshahara mnono na marupuru, maovertime kibao basi ataondoka mbio hata haina haja ya kuwaaga hao wadosi eeenh!

Ni Kweli Kabisa Mkuu...
Namuonea Huruma Kweli!
 
Pole zake. Ila wahenga wanasema '..ukiona shida zinazidi neema inakaribia..' So mwambie akaze

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Nimekupata Mkuu..ila hawa Jamaa Hawafai Kabisa Aisee
Hata Mda Wa Kufua Nguo hana
Kaz Mpa Jumamos
 
Mimi niliacha kazi mwezi mmoja tu kwani manyanyaso yao sikuweza kuyabeba kabisa. Niliona afadhali nikae nyumbani kuliko hao wa..du. Ningeweza kuwazaba kibao. Na baada ya hapo nikapata kazi sehemu wao inabidi waje waombe biashara. niliapa sintokaa niwape biashara labda hiyo sehemu niwe nimeondoka. Na siku moja nikakutana na bosi akaniuliza mbona hutupi biashara, au ulikasirika sana ulivyoondoka kwetu. Mimi nikamjibu wala, ila biashara hawatopata kupitia mikono yangu.
 
Hahahahahah
Mkuu Inaonesha Una Machungu Nao Sana!
 
Hawa jamaa ukikaa nao kwa shida wanakuzingua kishenzi mi nawajua nimefanya nao
kazi sana kule kwa subash .ila wao wenyewe wengi wana shida sana na hawatamani
kurudishwa kwao hata kidogo .Mwambie jamaa awe mvumilivu tu kwa sasa maana
amewalea
 
Dah, Mkuu hawa watu ni wabaguzi sana na wanapenda sana kusengenya kupitia lugha yao, Mshahara dusko halafu kila siku wanakusema tu ili usipate muda wakuongelea maslai yako, kila mwana familia naye ni Boss wako anataka akufokee Damn mi nikaona ni bora nirudie kazi zangu za kitaa nisije kua mtu nikapata kesi.
 
hawa washikaji kungekuwa na sheria(TZ), nibora tuwarudishe kwao india maana jamaa ni washenzi kinoma. kama uwajui unaweza KUUWA.

mi nawachukia kinoma
 
kibaya zaidi sasa tz tumewakuribisha adi kwenye serikali na kuwamilikisha ardhi na majengo makubwa apa dar ni ya wahindi nawengine wanazidi kutoka hindia wanamiminika tz kwa kasi(from india to tz) 140km/hr.
 
mtu ambaya anawatetea fanya utafiti wa majengo(ambayo tayari na yanayo jengwa) makuwa apa dar yote ya wahindi au ana share apo. watz tuamuke nchi imeuzwa.
 
solution yao tufanye kama mwl. kambarage nyerere kuwafukuza tz na kuwanyangang'a nyumba zao zote.
 
Back
Top Bottom