Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,746
- 25,662
hakuna kitu kama hichoTulia ndugu wapo kwenye mchakato kulingana na maitaji ya wana Jamii Foroum wana fanya mabadiliko kulingana na maitaji na wakati..Kuifanya jamii foroum kuwa bora nyakati zote..
Kama lipi? Notifications tu wameshindwaTumeanza kuyaona mdogo mdogo
Similar threads na kuandika namba ya pageKama lipi? Notifications tu wameshindwa
Wewe una hisa?hakuna kitu kama hicho
Kabisaa wameshindwa mpaka uamue kuutafuta uzi husika kisha ndio uangalie nani kakuQUOTEKama lipi? Notifications tu wameshindwa
Ninamiliki 79% za hisa ya JamiiForumsWewe una hisa?
Halafu baada ya matengenezo itaanza tena kuwa mbovuJuzi saa 10 usiku JF ilikuwa garage!!..
Mkuu ili lina ukweli ndani?Kabisaa wameshindwa mpaka uamue kuutafuta uzi husika kisha ndio uangalie nani kakuQUOTE
Mimi hiyo kwangu haipo mpaka niutafute uzi husikaMkuu ili lina ukweli ndani?
Mbona mimi napata notifications kwa new threads na post kwenye majukwaa mengi, mtu akikoti au akilike lazima nipate notifications na ni ki klick nakuwa directed kwenye hiyo QUOTE au like. Pengine sijakuelewa mantiki yako
I stand to be corrected
Basi ina maana ulipaswa kuwa mmoja wa waboreshaji siyo kuja humu kulalamika. Sisi tusio na hisa tunaomba ila hatutumii nguvu. Nina wasi wasi na hizo hisa zako, ngoja nimuuliza Melo.Ninamiliki 79% za hisa ya JamiiForums
wewe ni nani yake?Basi ina maana ulipaswa kuwa mmoja wa waboreshaji siyo kuja humu kulalamika. Sisi tusio na hisa tunaomba ila hatutumii nguvu. Nina wasi wasi na hizo hisa zako, ngoja nimuuliza Melo.
Mimi ni jamii ya JF na naheshimu kazi ya Management yao. JF kwangu ni nyumbani hivyo kama wewe unaingia kulalamika tafuta forum ambayo inakufaa.wewe ni nani yake?
Huyu ana lake au katumwa na wasiojulikana. Atafute forum itakayomridhisha. JF forever.Mkuu ili lina ukweli ndani?
Mbona mimi napata notifications kwa new threads na post kwenye majukwaa mengi, mtu akikoti au akilike lazima nipate notifications na ni ki klick nakuwa directed kwenye hiyo QUOTE au like. Pengine sijakuelewa mantiki yako
I stand to be corrected
Member mtiifu nisiye na malalamiko ila shukrani kwa JF.wewe ni nani yake?
Ata mimi ndio nashangaa[emoji41]Mkuu ili lina ukweli ndani?
Mbona mimi napata notifications kwa new threads na post kwenye majukwaa mengi, mtu akikoti au akilike lazima nipate notifications na ni ki klick nakuwa directed kwenye hiyo QUOTE au like. Pengine sijakuelewa mantiki yako
I stand to be corrected
Asante kwa taarifaMember mtiifu nisiye na malalamiko ila shukrani kwa JF.