Mabondia wa Tanzania... Dah!

Mabondia wa Tanzania... Dah!

wanapima tu uzito
uuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu.JPG
 
makampuni yanayowadhamini hayawezi kuwanunulia boxer? mtu kaja na boksa lake kalivaa wiki nzima jamani..kweli TZ tambarare
 
Mi hiyo chupi tu....!! Hapa cna mbavu,lakin ndio hali halis ya mtanzania,na yawezekana chama cha ngumi Tanzania kinamtambua.....!!
 
Huyo aliyevaa ya kijivu iliyoandikwa spirit ni Mkenya amekuja kupigana na huyo jamaa wa bongo, kwenye habari nilimuona mwandaaji wa TPBO akionesha cheti cha ruhusa alichopewa Mkenya kucheza huo mpambano.
 
bongo mambo mengi kisanii,watu wenyewe hata hawafanani na ubondia,kuna mmoja iringa alirusha ngumi tatu tu akaanguka na kuzirai,alipoamka akapewa uji ndo akaweza hata kuongea,
 
Back
Top Bottom