Kwani shida yako nini mkuu? Mbona sijaomba utoe biography yangu na sipendi HATA SIKU MOJA. Umeona Kasemi ni mbali? Kuwa hapa ni kuwa downgraded au kuwa updraded? Sijajiunga na hili jamvi leo kamanda!!!!kaka upo? siku nyingi sana , Tangu katoke mpaka hapa. Lakini kazi njema
WanaJF, hapo nilipo nimedaka Bomu moja, hebu nishaulini nilifanyaje!.
Sikufanya kwa nia mbaya ,nilikuwa nakupongeza tu kaka. Sikumaanisha kukuudhi bali sijakuona siku nyingi. Yote mema tuKwani shida yako nini mkuu? Mbona sijaomba utoe biography yangu na sipendi HATA SIKU MOJA. Umeona Kasemi ni mbali? Kuwa hapa ni kuwa downgraded au kuwa updraded? Sijajiunga na hili jamvi leo kamanda!!!!
Ndo maana kuna inbox kwa ajili ya private affairs!!! Its not ok lakini usijali, karibu!Sikufanya kwa nia mbaya ,nilikuwa nakupongeza tu kaka. Sikumaanisha kukuudhi bali sijakuona siku nyingi. Yote mema tu