Mabomu yapigwa Kampala International University (KIU)

Mabomu yapigwa Kampala International University (KIU)

Hivi vyuo bwana ni shida, vp na kile kilichokutwa na mifupa ya wtz wenzetu imefika wp ishu ile? IMTU mbezi makonde
 
Nina demu langu pale sabrina matakoo ngoja niwahi kuiokoa nikalitulize maana litakuwa na mstuko na msongo wa mawazo ...

aisee kumbe ndo wewe unayeniibia Sabrina wangu eeeh....subiri
 
Nina demu langu pale sabrina matakoo ngoja niwahi kuiokoa nikalitulize maana litakuwa na mstuko na msongo wa mawazo ...

Mkuu like matakoo! Nimelitafuna lile mara mwenga kumbe ndo unapumzika pale! Haya kaka.
 
Hiki chuo nilikiona magumashi toka kilipoanza.
Bora mi nipo zangu sehemu na moja bariiiidiiii namsikiliza Marijani Rajab na kibao 'Vicky mtoto wa Mamaaaa'!
 
mabomu ndio sera ya ccm dhidi ya wananchi wake. Ukawa tunakuja kulikomboa taifa.
Hakikisha unajiandikisha.
Tangu chuo cha mzumbe kianze zaidi ya miaka arobaini iliyopita hapajawahi kutokea mgomo hata siku moja. Hii ni kwasababu kuna kua na dialogue kati ya wanafunzi na uongozi mara kwa mara.
ukawa au ccm inaingiaje ?
 
Mzee Ruksa wasaidie vijana wako hawa...
 
tatizo serikali ya kifisadi ya CCM imesiasisha kila kitu katika nchi hii na ndiyo iliyotufikisha hapa.
 
Mbaya zaidi waliogoma na kufanya vurugu ni wanafunzi wa Health Science.

Wanaokamtwa na kupigwa na wengine kudhalilishwa ni wale walioko madarasani wa Law na Education.

Hii ndio Tanzania.

Mkuu kama upo mahali ukasikia FFU
wameitwa kuja hapo ulipo kutuliza ghasia
kama unaweza kukimbia kabla hawajakukuta
fanya hivyo ujiokoe mapema,wakifika
wanakuja uwezo wa kufikiri uko
kiwango cha chini kabisa kuliko unavyofikiri.

Mbele yao hata kama kuna mtu anasali
atapata teke alimaarufu kama bongoa ,mambo ya alikuwa
anasali yatajulikana tayari yupo kwenye karandinga.
 
Inferiority complex : huu ugonjwa ni hatari na maambukizi yake ni ya kasi kubwa.Tiba yake bado haijagunduliwa hivyo chukuweni tahadhari kubwa hasa wasomi wa vyuo vya juu mnaosoma kwa kodi zetu kama mikopo na hamrejeshi.Ni aghalabu sana kwa watoto wa watu wanaokaa katika kambi kupatwa na ugonjwa huu kwa sababu wamekuwa IMMUNE
 
Back
Top Bottom