Mabomu yapigwa Kampala International University (KIU)

Mabomu yapigwa Kampala International University (KIU)

Manu.

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2014
Posts
689
Reaction score
180
Mbaya zaidi waliogoma na kufanya vurugu ni wanafunzi wa Health Science.

Wanaokamtwa na kupigwa na wengine kudhalilishwa ni wale walioko madarasani wa Law na Education.

Hii ndio Tanzania.

Jeshi la polisi jijini Dar es Salaam limelazimika kutumia Mabomu ya machozi kutawanya Wanafunzi Wa chuo cha Kampala baada ya kugoma kuondoka chuoni hapo. Hii ni baada ya wanafunzi kulalamika ya kuwa kuna mojawapo ya fani itolewayo hapo chuoni haijasajiliwa.

Pia Wanafunzi WAMEJERUHIWA na kulazumika kukimbizwa hospital. Na majengo ya chuo yameharibiwa na Wanafunzi.

Chanzo: I TV Breaking News
 
Ni wapi huko kulikotokea mtafaruku huo?
 
Wanafunzi watumiana jumbe kujadili namna ya kurudi kuchoma Chuo.
 
Jeshi la polisi jijini Dar es Salaam limelazimika kutumia Mabomu ya machozi kutawanya Wanafunzi Wa chuo cha Kampala baada ya kugoma kuondoka chuoni hapo. Hii ni baada ya wanafunzi kulalamika ya kuwa kuna mojawapo ya fani itolewayo hapo chuoni haijasajiliwa.

Pia Wanafunzi WAMEJERUHIWA na kulazumika kukimbizwa hospital. Na majengo ya chuo yameharibiwa na Wanafunzi.

Source :I TV Breaking News
 
Mabomu ndio sera ya CCM dhidi ya wananchi wake. Ukawa tunakuja kulikomboa taifa.
hakikisha unajiandikisha.
Tangu chuo cha Mzumbe kianze zaidi ya miaka arobaini iliyopita hapajawahi kutokea mgomo hata siku moja. Hii ni kwasababu kuna kua na DIALOGUE kati ya wanafunzi na uongozi mara kwa mara.
 
Nina demu langu pale sabrina matakoo ngoja niwahi kuiokoa nikalitulize maana litakuwa na mstuko na msongo wa mawazo ...
 
Mabomu ndio sera ya CCM dhidi ya wananchi wake. Ukawa tunakuja kulikomboa taifa.
hakikisha unajiandikisha.
Tangu chuo cha Mzumbe kianze zaidi ya miaka arobaini iliyopita hapajawahi kutokea mgomo hata siku moja. Hii ni kwasababu kuna kua na DIALOGUE kati ya wanafunzi na uongozi mara kwa mara.
Ulishawai tokea
 
hiko chuo bungeni nilisikia eti mtu aliyesomea HGL anapelekwa kitivo cha medicine
 
Nina wasiwasi na ubora wa elimu wa hiki chuo
 
[h=2] Chuo kikuu cha kimataifa kampala international university kimenukaaaaaa leo[/h]
chuo kikuu cha kampala international university leo saa 9;00am wanafunzi wamefanya mgomo wa kufanya course work baada ya kungundua kuwa matatizo yao hayajatatuliwa HUKU wakiwa wanaililia serikali Ya jamhuri Ya muungano kutatua matatizo yao kupitia tume ya bunge ambayo imeundwa na ilitakiwa kuanza kazi leo, cha kushangaza zaid ni pale ambapo wanafunzi walikuwa wamekaaa chi ni na kusubiri tume ifike kwa ajiri ya mahojiano, hapo askari kutoka kituo cha staki shari kata ya ukonga wamekuja na mabomu ya machozi na kuanza kuwarushia wanafunzi waliokuwa wamekaa chini , na hatimaye kuwaAthiri wanafunzi hao na mabomu. wanafunzi wamejibu mashambulizi kwa kuvunja mali za chuo hiiki cha kimataifa vikiwemo viooo na mageti, sasa kweli jamani tutafika kwa mtindo huu unadai haki unapigwa mabom jamani tunaelekea waaapp,,,, AU WALE ASKARI NDIO TUME YENYEWE ILIYOTUMWA NA BUNGE KUJA KUUJUA UKWELI KUHUSU CHUO HIKI?​
 
hiko chuo bungeni nilisikia eti mtu aliyesomea HGL anapelekwa kitivo cha medicine

yani kila anaekidiss hiki chuo haongelei tcu as if wao huwa wanachagua wanafunz wenyewe bila kupita tcu, sijui ni nyie ndo hamuelewi! Aisee pale unaenda baada ya kupitishwa na tcu kulingana na vigezo vya guide book, na md wanaenda pcb ata cbg pia, kutokana na ada yao kuwa kubwa wanaokichagua ni wachache thats why ata three za mwisho mwisho wanaweza kuchaguliwa na hapo ndo doubts zenu zinaanzia, H kunani hawezi kusoma md tz labda abroad.
 
Back
Top Bottom