Mabomu yanarushwa angani Tegeta/Mbweni-Dar es Salaam

Mabomu yanarushwa angani Tegeta/Mbweni-Dar es Salaam

Kuna milio mikubwa inasikika eneo la Mbezi Beach saa hizi, milio hii ni mikubwa kuliko mabomu ya Mbagala na gongo la mboto. anayejua tafadhali atujuze
 
Mi nililala imenibidi nihamke nivae trakisuti attension kwa kuangalia wapi nikimbilie,,,kimewaka au nini ??
 
Kuna milio mikubwa inasikika eneo la Mbezi Beach saa hizi, milio hii ni mikubwa kuliko mabomu ya Mbagala na gongo la mboto. anayejua tafadhali atujuze

Kama milio ya mabomu ya gongo la mboto na mbagala itakuwa ni mabomu ya Palestina
 
Hamna kitu kama hicho mkuu, niko mbezi beach kwa komba karibu na lugalo kabisa hamna mlipuko hata mmoja uliosikika
 
Kuweni serious,hamna namba za kituo cha polisi cha karibu muwaulizie!
 
Naona unanjaa ukilala na njaaa utaona unafukuzwa na simba
 
Mi nililala imenibidi nihamke nivae trakisuti attension kwa kuangalia wapi nikimbilie,,,kimewaka au nini ??

...Sali Kisha Usubiri Litakalo Kufika Sasa Utakimbilia Wapi?Burundi Kimenuka,kenya Alshabaab Wapo,congo Hapa Kaliki Uganda Nako Kuna Waasi Wa LRA!Rwanda Sijui Kama Utapokelewa!
 
Sehem gani? Inawezekana vijana wanavunja miamba ili wachimbe kifusi pale njia panda ya Mbuyuni, au jamaa wanarusha fataki baharini huku wakisherkea dili lao, au JWTZ wanafanya yao kama walivyoitetemesha Songea, au kuna uhalifu wa kutumia mabomu ya kurushwa kwa mkono, ......
 
Back
Top Bottom