Serikali ianze kwanza na kuwawajibisha wale wote waliotufikisha hapa.
kwanini serikali inashindwa kutatua migogoro kwa muda mrefuuuuuuuuuu?
Ni nani Mbunge wa Mbarali na anatoka chama gani?
Kama anatoka chama tawala ni rahisi sana kwake kuutatua mgogoro huu,hawa Wabunge wa CCM waache kuiogopa Serikali yao kwa kuwaeleza ukweli viongozi,wanapofungwa midomo Bungeni basi wasifungwe mdomo na majmboni mwao.Wana uwezo mkubwa wa kuieleza Serikali ukweli na wakasikilizwa kwa haraka kuliko kule wanakotoka Wapinzani.Sasa kwa nini huyu Mr.Kilufi asitumie hii opportunity kabla wananchi hawaja mgeiuka 2015?mbunge ni mr.Kilufu CCM
kwanini serikali inashindwa kutatua migogoro kwa muda mrefuuuuuuuuuu?
Too much ushabikimimi niko mbarali hakuna kitu cha namna hiyo