Mabomu yalipuka tena Mbagala !! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mabomu yalipuka tena Mbagala !!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Opaque, May 11, 2009.

 1. Opaque

  Opaque JF-Expert Member

  #1
  May 11, 2009
  Joined: Oct 24, 2008
  Messages: 1,138
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Tukiwa tumeanza kusahau machungu ya mabomu yaliyolipuka siku chache zilizolipita, kuna taarifa kwamba mabomu mengine yamelipuka huko Mbagala. Waliopo karibu endeleeni kutujulisha.
   
  Last edited: May 12, 2009
 2. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #2
  May 11, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Say word?
   
 3. BantuGirl

  BantuGirl Senior Member

  #3
  May 11, 2009
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 157
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kuna mlio mmoja ndo umesikika tena wa nguvu, watu walitawanyika ila kwa sasa maeneo ya kwanzia mtongani kumetulia
   
 4. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #4
  May 11, 2009
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,854
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Hakuna jinsi waziri wa Ulinzi lazima ajiuzuru kama mabo ni hayo.
   
 5. Icadon

  Icadon JF-Expert Member

  #5
  May 11, 2009
  Joined: Mar 21, 2007
  Messages: 3,589
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 0
  Lakini wiki iliyopita jeshi lilisema litalipua mabomu mengine yaliyosalia.
   
 6. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #6
  May 11, 2009
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,320
  Likes Received: 5,611
  Trophy Points: 280
  Si walisema wamelipua yote hakuna tena??kama na leo tena isije ikawa hujuma hizi haya.....maana wanasema mambo jeshi hayajadiliwi na raia.
   
 7. BantuGirl

  BantuGirl Senior Member

  #7
  May 11, 2009
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 157
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Lakini nakumbuka walisema kuwa kuna mabomu mengine inawezekana yapo kwenye makazi ya watu na bado hayajalipuka so wananchi wawe waangalifu, labda ni moja wapo ni hilo lililolipuka ngoja tupate uhakika... Maana cku mbili baada ya mabomu tulipita maeneo ya kijichi huko kuna sehemu bomu lilijichimbia kashimo na lilikuwa bado halijaripuka ikabidi tuwape taarifa wakaja litoaa.....
   
 8. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #8
  May 11, 2009
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,893
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Basi hii ni wazi uongozi ulopo madarani Mola hajapendezwa nao kabisa na ndo mana anaiadhibu nchi kwa kila kona. We need to change the profile from God. Hivi ndivyo Mola huiadhibu nchi au serikali ambayo haikutoka kwake au haitendi yale ya wengi kwa manufaa ya wengi. Hawa viongozi inabidi wajiangalie kiroho na kumrudia Mungu. Maalbino slaughter, ufisadi, upotevu wa rasilimali nchi, mikataba mibovu, imeediate actions in matters of their interest kama kufutilia mbali malumbano ya Mengi na RA, kusuasua kwa kesi za ufisadi, upindishaji wa sheria na katiba, kuwadanganya watanganyika na kuwaibia kura, kuwadidmiza watanganyika katika lindi la umaskini, poor or no feasible return of tax in development processes, mabomu, ukandamizaji wa wanyonge and the list goes on. We need our country in good faith. Sioni ni kwanini wasiturudishie nchi yetu up to this juncture. Au tusiwe na rais kabisa. Walimu wote wa shule za msingi ndio wawe viongozi wa nchi kwani wanajua ku-prioritise mambo kuliko hawa jamaa
   
 9. F

  FisadiNyangumi Member

  #9
  May 11, 2009
  Joined: May 4, 2009
  Messages: 34
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  jamani wamekufa watu kumi at per hao walioonekana bado wale tunaokutana nao mtoni;loh!!!!!!!!!!!!!!mwinyi shame on you br
   
 10. F

  FisadiNyangumi Member

  #10
  May 11, 2009
  Joined: May 4, 2009
  Messages: 34
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kwa nini yasilipuke siku wakienda viongozi wa serikali jamani ,mungu embu toa onyo kwa hawa watu wakujue na kukuheshimu.....
   
 11. Black Jesus

  Black Jesus JF-Expert Member

  #11
  May 11, 2009
  Joined: Mar 7, 2008
  Messages: 254
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Unamuelewa waziri wa ulinzi anatokana na familia gani ?
   
 12. M

  Magezi JF-Expert Member

  #12
  May 11, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Mungu tusaidie walau kombora moja litue ikulu
   
 13. F

  FisadiNyangumi Member

  #13
  May 11, 2009
  Joined: May 4, 2009
  Messages: 34
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hapana kabla ya ikulu lianze pale kawe kwwenye nyumba ya waziri wenu wa ulinzi na uzinzi
   
 14. Madam Koku

  Madam Koku Senior Member

  #14
  May 11, 2009
  Joined: Feb 16, 2009
  Messages: 113
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  We need to pray for Tanzania.
   
 15. bm21

  bm21 JF-Expert Member

  #15
  May 11, 2009
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 774
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Kwi kwi Kwi wakuu mnahasira.... hiii imenifurahisha sana
   
 16. R

  Rwabugiri JF-Expert Member

  #16
  May 11, 2009
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 2,777
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Duu hiyo ni wizara gani tena?
   
 17. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #17
  May 12, 2009
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,854
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Kama Baba alikwisha wahi jiuzuru alipokuwa Waziri wa Mambo ya Ndani kutokana na makosa yaliyofanyika hata watu wakafa na kwa mtoto naye walioko chini yake wamefanya makosa hata watu wamekufa, wamepoteza viungo na mali zao; ajiuzuru.

  Waliokufa,kupata usumbufu na kupotelewa na mali si kenge ni watu. Ikiwa waziri anajiuzuru kwa sababu tu ndege ya Rais imeruka chinichini toka usawa wa ardhi sembuse la vifo?

  Kama kwa mtoto yanatokea mafanikio kama yaliyotokea kwa baba wanasema familia hii inabaraka. Lakini kama kwa mtoto yanatokea mabaya kama yaliyotokea kwa baba kwanini wasiseme familia hii ina mkosi/laana.....Natania tu.
   
Loading...