Mabomu ya Machozi yaanza kulia Mwanza

Mabomu ya Machozi yaanza kulia Mwanza

Cestus

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
987
Reaction score
132
Nadhani ni ile ishu ya waislam imeanza upya.
 
Ok angalia bana...we komaa nao tu utuletee yanayojiri
 
Kama unadhani ina maana hauna uhakika wa kile ambacho unatuambia hapa?
 
matatizo wanayo hao wanaotuchokoza.. Si mnataka 2oneshane ubabe....

Sele kwa ninachokifahamu juu ya suala la Mwanza sio kuwa mmechokozwa ila mlitaka wenyewe

Si ninyi wenyewe ndiyo mliosema Quran hata ikichomwa haiungui na ikiungua siku 3 alieichoma anakufa na mkatoa ruhusa kwa mchungaji kuichoma na ikaungua na bado anadunda tu mtaani akiwa hai?

Sasa hapo utasema Mchungaji au Wakristo ni wachokozi? Au hujalifahamu vema suala la Mwanza?
 
unanfrahisha sana ndugu yangu! Kwahiyo walikwenda kwa yule mama kuthibitisha kama Quran inachomeka? Jipange tena then urudi!
 
Sele kwa ninachokifahamu juu ya suala la Mwanza sio kuwa mmechokozwa ila mlitaka wenyewe

Si ninyi wenyewe ndiyo mliosema Quran hata ikichomwa haiungui na ikiungua siku 3 alieichoma anakufa na mkatoa ruhusa kwa mchungaji kuichoma na ikaungua na bado anadunda tu mtaani akiwa hai?

Sasa hapo utasema Mchungaji au Wakristo ni wachokozi? Au hujalifahamu vema suala la Mwanza?

astaghfilullah,huyo muislam aloruhusu qur'an ichomwe ni fedhuli
 
Majambazi waliokuwa wamesheheni zana nzito wavamia duka la hardware nyerere Road,bahati jeshi letu la polisi lilikuwa limeshapata taarifa za kiintelejensia.kilichotokea ni mpambano mkali wa risasi ,,,mwisho wa siku majambazi wawili wamesambaratishwa risasi palepale na watatu wapo wanakula virungu
 
Embu weka data zote, unatutisha wengine tuna ndugu huko
 
let's be honest... hivi mtu utachomaje kitabu takatifu cha Mwenzio...hadharani ???????
 
Embu weka data zote, unatutisha wengine tuna ndugu huko

Siyo maandamano ya waislam, ni mpambano kati ya polisi wetu na majambazi waliovamia kutaka kupora pesa kwenye Petrol station - MOIL. Majambazi wawili chali, watatu taabani. Waislam wamepanga kuandamana baada ya sala ya Ijumaa. Nao nadhani wajiandae maana polisi wameeleza wazi kuwa wamejipanga vizuri kupambana na wanaotafuta ugomvi wa kidini.
 
Du hii ni kali kuliko.
 
Sijui kama Ile hoja ya Fikra kwa kutumia Masaburi hapa haijafanya kazi
 
Back
Top Bottom