Mabomu ya Machozi yaanza kulia Mwanza

Taarifa za sasa zinasema majambazi yote matano yameuawa, walikuwa wampaga kwenda kuiba $60,000 kwenye filling station ya mbunge wa Kwimba, Mansoor lakini wameambulia shilingi 60,000 na kifo. Source RPC mZA
 
Ndo intelijensia tunayoitaka constructive sio intelijensia CHADEMA TU..........

Polisi wa hapa Mwanza, kwa kiasi kikubwa wanajitahidi. Jaribu kufuatilia matukio ambayo wamewadhibiti majambazi kabla hawajafanya uhalifu - ni mengi. Tangu enzi za kamanda Siro - namfahamu huyu Bwana tangu A-level mpaka tulipokuwa Chuo Kikuu, ni jamaa ambaye ana upeo mzuri na logic, ndiyo maana Mwanza haipo kama Arusha licha ya kwamba hapa wapinzani wa CCM ni wengi. Simfahamu kimalifu kiutendaji RPC wa sasa lakini namjua vizuri Mkuu wa Operesheni za kipolisi wa Mkoa wa Mwanza, huyu naye tulikuwa wote Chuo Kikuu, hawezi kufanya upuuzi kama ule wa Arusha, hawa kwa kiwango kikubwa wanajitahidi sana kuchapa kazi wanayostahili kufanya.
 
Hawa jamaa wanajifanya fuuuujooooooo!!! kumbe hamna lolote!!
 
Safi sana Polisi kwa kuweza kukabiliana na majambazi,nadhani huu ndio nfano wa kazi ambazo ndio jukumu lenu halisi za kuzifanya na si siasa kama wanavyofanya Arusha,mwenye picha za ujambazi huo atutundikie hapa tuwaone.
 
Mnamo majira ya saa tatu mwanza mjini karibu na stanbic bank/ moil kulisikika milio ya risasi mwenye update atuhabarishe
 
Majambazi waliokuwa wamesheheni zana nzito wavamia duka la hardware nyerere Road,bahati jeshi letu la polisi lilikuwa limeshapata taarifa za kiintelejensia.kilichotokea ni mpambano mkali wa risasi ,,,mwisho wa siku majambazi wawili wamesambaratishwa risasi palepale na watatu wapo wanakula virungu

Hii ina uhusiano gani na ishu ya mwanza, hebu anzisha thred yako mkuu.
 
Nadhani ni kutokana na umasikini uliokithili. Hapa inabidi ule mpango wa kupunguza wezi kwa kuwanunulia bodaboda uangaliwe upya, kazi nyingine zaidi zibuniwe ili wizi upungue
 
Back
Top Bottom