Mabomu Kinondoni mida hii

Mabomu Kinondoni mida hii

mxyo16

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
1,243
Reaction score
760
Jamani mie nipo maeneo ya leaders hapa nasikia miungurumo inatokea biafra
 
Biafra wapo FFU wamepiga kambi pale. Pia wapo vijana wengi barabarani wanawabwekea muda mrefu. Labda FFU wamekosa subira.
 
Umejuaje ni mabomu........?........

Ni mabomu. Polisi wanakimbizana na RAIA wanaotaka Matokeo yatangazwe. Mi ndo napita hapa muda huu. Kuna magari ya Maji ya kuwasha.
 
Umejuaje ni mabomu........?........

Naamini kaboom na rat tat tata ta ni milio tofauti ya bomu na risasi respectively. Nilisikia kaboom mara sita....baadae kuna jamaa kasema kaona Land Rover 3 za ffu zikienda huko
 
Nchi hii kuna watu wanaitwa Ffu

Mimi mwenyewe nilihitimu mafunzo ya JKT, lakini nilipomshirikisha ona hawa jamaa ambao hata hawafikii kiwango changu katika mafunzu afu wanawatesa Raia kiasi kile, kiukweli huwa ninawaona kama sio watu wa maana.
 
Back
Top Bottom