Mabomu Kinondoni mida hii

Mabomu Kinondoni mida hii

Nchi hii kuna watu wanaitwa Ffu

Mimi mwenyewe nilihitimu mafunzo ya JKT, lakini nilipomshirikisha ona hawa jamaa ambao hata hawafikii kiwango changu katika mafunzu afu wanawatesa Raia kiasi kile, kiukweli huwa ninawaona kama sio watu wa maana.

jichanganye siku moja kwenye harakati zao za kuweka levo siti ili ujipime kiwango kwa vitendo sio nadharia hizi za jf
 
IDDI AZZAN kapigwa chini
Vijana wote Biafra. oyoo oyoo polisi wamechukia
 
Naamini kaboom na rat tat tata ta ni milio tofauti ya bomu na risasi respectively. Nilisikia kaboom mara sita....baadae kuna jamaa kasema kaona Land Rover 3 za ffu zikienda huko
Aisee!
 
Back
Top Bottom