THK DJAYZZ JF-Expert Member Joined Sep 14, 2011 Posts 2,166 Reaction score 175 Oct 26, 2011 #61 Mbassa said: watu wamekimbia wameacha magari yao maeneo ya posta. Na kuna mzee mmoja kakimbia kutoka hoteli akiwa uchi kuelekea baharini. Hakuna usafiri kutoka maeneo ya posta, kariakoo n.k. Ni taharuki kubwa Click to expand... Khaaa we ni noma pale kati ishu ya mzee. Teh teh teh
Mbassa said: watu wamekimbia wameacha magari yao maeneo ya posta. Na kuna mzee mmoja kakimbia kutoka hoteli akiwa uchi kuelekea baharini. Hakuna usafiri kutoka maeneo ya posta, kariakoo n.k. Ni taharuki kubwa Click to expand... Khaaa we ni noma pale kati ishu ya mzee. Teh teh teh
Mzee Platinum Member Joined Feb 2, 2011 Posts 13,620 Reaction score 5,867 Oct 26, 2011 #62 Ukweli ukowapi.
Tusker Bariiiidi JF-Expert Member Joined Jul 3, 2007 Posts 5,554 Reaction score 2,160 Oct 27, 2011 #63 Hvaaapiii Deeevaaal my Vfrendiiisss...
M mama cha Senior Member Joined Aug 2, 2011 Posts 115 Reaction score 9 Oct 27, 2011 #64 humu hakuna greater thhnkers kama wapo wachache wengi ni wendawazimu na wakurupukaji! Unasemaje mabomu wakati huna uhakika? Shem on you!
humu hakuna greater thhnkers kama wapo wachache wengi ni wendawazimu na wakurupukaji! Unasemaje mabomu wakati huna uhakika? Shem on you!
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,811 Reaction score 13,767 Oct 27, 2011 #65 Tuambiane ukweli jamani.
Kigogo JF-Expert Member Joined Dec 14, 2007 Posts 20,508 Reaction score 6,199 Oct 27, 2011 #66 hivi hawa si watanzania wenye asili ya asia sasa mambo ya mwaka mpya wao kivipi!! Jan 1 si ndo mwaka mpya wetu au nachanganya
hivi hawa si watanzania wenye asili ya asia sasa mambo ya mwaka mpya wao kivipi!! Jan 1 si ndo mwaka mpya wetu au nachanganya