Watoto watatu walikuwa wanabishana kuhusu baba zao.Majibishano yalikuwa ka ifuatavyo
Mtoto wa1: Baba yangu anakimbia sana hadi ukirushwa mshale anaanza kufika yeye kabla ya mshale
Mtoto wa 2: We unasema ana mbio!! mbio gan hizo. Mimi baba yangu ikipigwa risasi anafika kabla ya risasi
Mtoto wa 3: Ninyi wote baba zenu hawakimbii kabisa. Mimi baba yangu anaondoka nyumbani saa mbili kamili asubuhi anafika kazini saa moja na dakika 59 asubuhi siku hiyo hiyo.
Nani mkali???????????
Huyo atakuwa anajua kuandika quran vizuri sana
Huyo atakuwa anajua kuandika quran vizuri sana
Busara japo kidogo!!Huyo atakuwa anajua kuandika quran vizuri sana
rangi uliyotumia inaniumiza macho mkuuWewe ndio mkali
Mentor nasikia ulikopa Tigo vocha toka mwezi wa kwanza mpaka leo ujalipa!usinisemeeeee...huyo wa3 katusema wafanyakazi wengi!!!!lol
Hii kali, inanikumbusha afande wetu mmoja jeshini alikuwa anaamrisha kuruta: Nikisema "GO" iwe umesharudi hapa!Hahaha! baba wa mtoto wa 3 balaa anafika kabla ya kuondoka khaah!
Dah!!!Hii kali, inanikumbusha afande wetu mmoja jeshini alikuwa anaamrisha kuruta: Nikisema "GO" iwe umesharudi hapa!