Mabinti zetu club!

Mabinti zetu club!

MDANGANYIKAJI

Member
Joined
Jan 27, 2011
Posts
77
Reaction score
59
Hivi ndio inatakiwa iwe au?

attachment.php
 

Attachments

  • IMG_0128.JPG
    IMG_0128.JPG
    62.3 KB · Views: 2,299
So, what is so special here? Kama huna cha kuandika nyamaza kimya. Soma michango ya mwanakijiji.
 
Huwa unaenda kufanya nini? kwa nini usikae nyumbani na kusoma biblia?!...ya ngoswe mwachie mwenyewe ngoswe???!
 
Huwezi jua hapo club alienda kama nani,na mahali penyewe panajulikana kwa uvaaji mbovu hivyo sishangai kuona hili.
 
Kwanza ni kosa kupiga picha club lile ni eneo faragha kwa watu maalum hulazimishwi kwenda ndo mana watu hawavai magauni marefu pale ....hua ni full kujiachia hata chupi poa tu pale kuna wanouza mili yao na biashara zingine ingekua kanisani au barabarani hapo kweli ila club umebug men tena uache umbea wa kupIga picha pale ni faragha tu
 
kumbe wapo club unataka wavaeje maana nilitegemea kuona wakiwa wako nusu uchi
kumbe wamevaa kabisa na wengi wao wako kibiashara sijui unatakaje
 
Naona sawa, maana huwezi vaa ushungi au kanga hapo
 
Kumbe mabinti wanatakiwa wakae nusu uchi wakiwa klabu kwani ni wanyama? Mbona wanaume wanavaa nguo ambazo sio nusu uchi
 
Back
Top Bottom