Mabinti wenye kutaka ndoa serious. Nahitaji mke tafadhali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mabinti wenye kutaka ndoa serious. Nahitaji mke tafadhali

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mwl.ngonyani, Jun 29, 2011.

 1. M

  Mwl.ngonyani New Member

  #1
  Jun 29, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi ni mkaka wa miaka 25. Nahitaji mchumba ambaye baadaye ataitwa mama wa watoto wangu. Sifa za mwanamke ninayemuhitaji ni mwenye umri kati ya miaka 19 hadi 27, mpole kiasi, elimu ni cheti/stashahada/form 1V/form V1, awe tayari kufahamiana(face to face) ndani ya siku 45, dini yoyote. Kwa walio tayari tafadhali wanitumie email, ngonyanishukuru@yahoo.com, muhimu ni kunipatia profile yako huku ukinipatia namba za simu na location ulipo. I NEED ONLY THOSE WHO ARE SERIOUS PLEASEEEE!!!!!
   
 2. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #2
  Jun 29, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,403
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  mawindo mema mwalimu...angalia usijekumbana na wanafunzi wako humu.
  halafu ukipitia kwenye jukwaa la utambulisho ni vyema mkuu...ni utaratibu wageni kupiga hodi na kukaribishwa.
  kuna watu wema sana hapa.
   
 3. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #3
  Jun 29, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Mhhhh humu watu waongo tu tafuta mtaani kwenu
   
 4. M

  Mwl.ngonyani New Member

  #4
  Jun 29, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Poa kaka! Ucjal! Nitajitambulisha nukta chache zijazo. Kwani wote wajiitao daktari wana phd? Au taaluma zao? Hiyo akili kichwani swahiba.
   
 5. MTAMBOKITAMBO

  MTAMBOKITAMBO Senior Member

  #5
  Jun 29, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mh!Hii JF hii...!!!!!!!!!!!!
   
 6. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #6
  Jun 29, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  umenikumbusha enzi hizo wakati ambapo mwalimu alikuwa na sifa nzuri na role model kwenye jamii! kila la kheri mwalimu, ila hapo kwenye 19 yrs old,si utakua fataki? ni wazo tu,lisikusumbue.
   
 7. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #7
  Jun 29, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Ndani ya siku 45....??:A S cry:
  haya kakaeke kila lakheri...
   
 8. A

  Aisha Adam JF-Expert Member

  #8
  Jun 29, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kila la kheri mwalimu,
  Ila ningeshauri utafute huko mtaani kwenu kwani mambo ya kwenye mitandao ni magumu wengi ni mataperi,
  Ni ushauri kwa mtazamo wangu ukiona unafaa unaweza ukautekeleza
   
 9. LD

  LD JF-Expert Member

  #9
  Jun 29, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Unasema dini yoyote? We dini gani? Dah hebu ngoja nisijeitwa mdini bure. Halafu miaka 25 ndo unahaha hadi kwenye mitandao kutafuta mke? Ahii, sijui labda ndo hivyo. Kila heri....
   
 10. Romance

  Romance JF-Expert Member

  #10
  Jun 29, 2011
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 587
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nina miaka 24 - 27

  nimesoma hadi diploma ya walimu

  ni mpole kiasi

  sina dini by the way

  niko tayari kuonana nawe leo

  naona nina vigezo

  Swali kazi unaweza lakini mana hujagusia.
   
 11. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #11
  Jun 29, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  all the best mwalim.
   
 12. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #12
  Jun 29, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Mwalimu we ni chama gani?
   
 13. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #13
  Jun 29, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  haitoshi bwana. Hebu mpoze moyo mwalimu.
   
 14. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #14
  Jun 29, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  yule jamaa ushaamua kumbwaga mazima?
   
Loading...