Mabinti wanaoikaribia 30 wana kiu kali ya ndoa

Hivi kwa nini mabinti, wanawake wanakosa wa kuwaoa, ilhali sensa zinaonyesha wanaume walio juu ya Miaka 18 ni wengi kuliko wanawake.
Nilidhani wanaume ndio wangekosa wanawake wa kuwaoa. Kwasababu supply ni ndogo kuliko demand ya wanawake.
 
Ma binti ambao wako Dakika za majeruhi wanakaribia kuinusa miaka 30 wana kiu kali ya ndoa , ukiwa nae kimahusiano ata kama mahusiano mabichi yana wiki mbili ataanza kauli za kuhusu ndoa , wako desperate sana. Yuko tayari kukupiga hata limbwata akuteke
naunga hoja,mm ninae mpka ikanibidi nipeleke barua maana sija jinsi kwakweli
 
Inategemea "ntu na ntu" binafsi niko na thirty two yangu safi kabisa na hakuna kitu cha kunifanya niwe desperate as long as nakula nashiba na kulala kwa amani.
Mawazo yako yangekuwa sawa na wazazi waliokuleta duniani sidhani kama tungepata nafasi ya kuwa na wewe hapa jukwaani.

Mawazo finyu ya single mama ni shehemu ya mfumo unaoigandamiza dunia kuonekana NDOA hazina umuhimu kwa sasa.
 
Inategemea "ntu na ntu" binafsi niko na thirty two yangu safi kabisa na hakuna kitu cha kunifanya niwe desperate as long as nakula nashiba na kulala kwa amani.
Hii ni lugha nzuri sana ya kujifariji.
"Kwanza kuolewa sio lazima, Na wote walioolewa wanajuta" Alisikika mdangaji mmoja wa mitandaoni.

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 
Kuna mmoja nilimsaundisha sasa akajua mimi Mme wa mtu akabeti mkeka akala baada ya hapo akajifanya chizi nikamkosa vijisababu kibao nikaona isiwe tabu tukabaki kama marafiki kumbe baadae alifatilia akajua sina mke mpaka Leo haipiti Sikh mbili bila msj yake ya salam .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom