Maya Angelou
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 1,085
- 2,592
Ila huwezi kuniambia huna hope, you must be having a serious relationship by now na Prospect wako.
Mambo ni tofauti kama ukiwa 30 and single huna mtu hata anekupigia simu za kipenzi zile lazma kichwa ipate moto. Hawa ndio hasa wanazungumziwa.
upo tayar uwe mke 2Sijaolewa
Anhaa vyema sana njoo huku tuyajenge vizuri...Sijaolewa
Hapana Teena mm mkristo sio muislamupo tayar uwe mke 2
Tujenge nn mkuu[emoji849][emoji849]Anhaa vyema sana njoo huku tuyajenge vizuri...
Kibanda cha makopa kopa...Tujenge nn mkuu[emoji849][emoji849]
basi uwe mchepuko.kama hutojaliHapana Teena mm mkristo sio muislam
Siwezi mkuu najiheshimu kuliko unavyodhanibasi uwe mchepuko.kama hutojali
Mh wewe jenga tu mkuu mm kujenga badobadoKibanda cha makopa kopa...
ππZaidi ya kutuoa hakuna kingine
unajifariji tu huna loloteInategemea "ntu na ntu" binafsi niko na thirty two yangu safi kabisa na hakuna kitu cha kunifanya niwe desperate as long as nakula nashiba na kulala kwa amani.
Unateseka?unajifariji tu huna lolote
inapendezaSiwezi mkuu najiheshimu kuliko unavyodhani
Hata ambao hatujafikisha 30s tumekomaa kiakili tunaweza kuhudumia familia vzr tu30s ndio wazuri kuoa, wamekomaa kiakili, washamaliza starehe zote wapo tayari kujenga maisha na wenza wao,
Me mwenyewe nasubiri tufike 30s ndio tufunge ndoa, sasa hivi acha tule maisha kwanza.
πππππππHata ambao hatujafikisha 30s tumekomaa kiakili tunaweza kuhudumia familia vzr tu
Sawaa, nipe location nilete mahari chap mremboHata ambao hatujafikisha 30s tumekomaa kiakili tunaweza kuhudumia familia vzr tu